The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,078
- Thread starter
- #21
kwenda uvinza ndo nini?
Pale kuna maneno mawili,kushika mike na kuflow pamoja na kwenda uvinza,sasa kama umeelewa kushika mike na kuflow kwa nini usijue kwenda uvinza ndio nini?