Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,988
- 27,926
--->>>>>>>>Rais magufuli chonde wananchi kutumbua majipu ni wivu fitina Na majungu huenda wakauana
yapo mambo ambayo mara yatakapo zungumzwa hata mtu mwenye akili ndogo kabisa ni rahisi kuyatambua mfano hili la madaladala kukata ruti ni suala ambalo si la chuki ni facts na lipo wazi.