shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Wakuu,
Mimi kuna jambo linanichanganya, nijuavyo na kwa mtazamo wangu mdogo ni kwamba ili kupambana na kutokomeza jipu na dhairi unatakiwa kulitumbua na kukamua hadi kiini kitoke.
Sasa hii dhana ya JPM inanipa tabu kidogo maana alisema anatumbua majibu ila akusema kama atakamua na ndicho ninachoshuhudia kwasasa majipu yanatumbuliwa kila kukicha lakini hatakamuliwi na natokeo yake jipu lolote likitumbuliwa na lisikamuliwe huwa linakua na tabia ya kuamia sehemu jingine na huwa linaleta madhara makubwa kuliko sehemu ya mwanzo.
Sasa JPM anatumbua jipu hapa linaamia pale sielewi nini maana yake, jipu likitumbuliwa na kukamuliwa yani unamsimamisha kazi mtu kama kweli anastahili kusimamishwa alafu kwa kuwa ameuhumu uchumi wa taifa basi jingependa kuona taratibu za kisheria ikiwa kama kuwapeleka mahakamani hawa watu waliosimamishwa kazi sio leo tunasikia mkurugenzi flani kasimamishwa kazi alafu bado anaamishwa na kupewa kitengo kingine sasa hayo ndo madhara ya kutumbua jibu usilikamue.
Nijuavyo mimi mtu akisimamishwa kazi basi mshahara anaendelea kulipwa kama kawaida kwa mujibu wa sheria ya kazi. Sasa nini maana yake ningependa JPM anapotumbua jibu akumbuke na kukamua na hapo ndio atadhihilisha kuwa kanuni za tiba za jipu zimefuatwa kama daktari makini atumbue akamue, tuone matunda ya kushughulikiwa hayo majipu.
Maana kama naona nachoshwa na maigizo haya ya kila waziri, au kiongozi kutafuta kick za majibu sasa kama inawezekana waanze kufanya kazi sio kila siku wanakuana misafara na waandishi wa habari kwenda kutumbua na wasikamue bora wakae maofisini waangalie mikataba iliyopita katika wizara zao inayoendelea kutupa hasara kuliko kuchoma mafuta kushtukiza kutumbua majibu ambayo yanaamia sehemu nyingine.
Au mimi sielewi majipu kumbe ni kutumbua nakuliacha litajikamua lenyewe.