Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699

Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.
 
suluhisho ni wanafunzi kuwa makini na masomo!! Period!!!!
 
Ndalichako is one of the best brains in Tanzania for your information. Acha afanye kazi yake, maana yupo sahihi kabisa. Keep it up Joyce.
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.
Tena kwa taarifa yako ni kwamba hao wanasiasa ndiyo wanaoharibu ELIMU. Mfumo wa ELIMU umekuwa corrupt kwa ajili ya siasa katika ELIMU. Ndiyo hawa wanaopigia kelele Kiswahili kufundishwa kuanzia chekechea wakisema ni lugha ya taifa wakati watoto wao hawapeleki shule msingi za serikali ambazo ndizo pekee zinazofundisha kwa lugha ya Kiswahili. Leo hii ELIMU ya Kenya inaonekana bora kushinda yetu kwa ajili ya hao wanasiasa.
 
SIKUTEGEMEA KAMA KUNAMTU ANGETOKEA KUMPINGA KUHUSU HILO DR NDALICHAKO, WANASIASA NI PROBLEM YA KILA KITU NCHI HII HEKO DR ENDELEA HIVYOHIVYO TUTENGANISHE UTENDAJI NA Siasa!
 
Jamaa umetumwa nini,sawa wambie wanasiasa wako watunge na kusahihisha mitihani ili mpate matokeo mnayotaka
 
wanasiasa wanasababisha walimu wanafelisha wanafunzi kwa makusudi, ili wapate umaarufu.
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Wewe ulipata matokeo gani vile?
 
Una kila dalili ya mambo yafuatayo; Mvivu kufikiri, Victim wa matokeo ya NECTA kwa uvivu wa kusoma na mvivu kuchambua unachosikia au kusoma. Ufafanuzi kidogo kukusaidia kuelewa nini anasema Dr. Ndalichako >Ukiruhusu wanasi-hasa kuingilia elimu. Kesho wataweka target za ufaulu za kisi-hasa mfano 100 kwa darasa 7 na badala ya kuweka nguvu ya kufikia ufaulu huo wao wanaweza kuweka nguvu za kulahisisha mtihani mfn. wanaweza agiza NECTA itoe mtihani usiozingatia mahitaji/ rahisi kiasi cha mtoto wa drs 4 naye anaweza faulu mtihani wa drs 7.
 
Mwacheni binti yetu afanye kazi!!
Msituaribie elimu kwa siasa, elimu ni taaluma sio siasa au upendeleo!!
 
Mama yuko sahihi, hebu fikiria waziri Mungai alichokifanya baada ya kuharibu mitaala ya science kwa kufanya Physics and Chemistry kuwa somo moja hadi walimu kushindwa kufundisha, katika elimu watalamu waachiwe wafanye mambo bila kuingiliwa bila kuingiliwa na wanasiasa
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Nafikiri hujamwelewa. Soma tena majibu yake ndiyo ujue kuingiliwa na wanasiasa na wanasiasa kufanya wajubu wao.
 
suluhisho ni wanafunzi kuwa makini na masomo!! Period!!!!

leo nimeona shule moja ya msingi kuanzia darasa la 1 -7 wanatumia chumba kimoja kwa shift ya saa 1 kwa kila darasa #I .T.V mchana
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

ungekua kwenye hii secta usnge sema
 
yani wewe ni janga kwa mawazo yako
 
Hukuelewa alichosema Ndalichako, ndo maana umekurupuka na comment za kisiasa
 
Huyu mama anajipalia makaa. Ametoa kauli hiyo wakati tayari kuna kikundi maalum cha wanasiasa kilichoundwa kumshughulikia kutokana na misimamo yake. Hivi sasa kuna mpango wa kuandaa maandamano makubwa ya kumng'oa unaoratibiwa na wanasiasa na tayari kuna uhamasishaji mkubwa unafanyika.

Baadhi ya nyaraka zilizozagaa kuhusu mpango huo hizo hapo. Kauli yake itachochea kasi ya kumshughulikia
 
Ndalichako endelea kunyonga waislam na hiyo kamati yako ya kutunuku!
Na wote wanaokusifia ni wale wote ambao hawautakii mema uislam na waislam hapa tz.
 
Back
Top Bottom