Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Ndalichako is one of the best brains in Tanzania for your information. Acha afanye kazi yake, maana yupo sahihi kabisa. Keep it up Joyce.
]
Kweli kabisa kwani ameweza kukiendeleza kile kilichoasisiwa na wenzake cha kukandamiza jamii flani na kuipendelea nyingine
 
Ndalichako amekuwa sahihi mara zote,kimsingi anazungunzia mambo ya kitaaluma siyo siasa uchwara za wanasiasa wetu.Mf wa wanasiasa hao ni wale waliokuwa wanadanganya watu kwamba wanafunzi wa kiislamu wanafelishwa kwa alama zao kupewa wakristo.Kumbuka huwezi kuwa na PhD kama huna taaluma ila unaweza kuwa mwanasiasa hata kama ni kilaza a.k.a mbugila.Acha kupotosha watu.
 
Ndalichako endelea kunyonga waislam na hiyo kamati yako ya kutunuku!
Na wote wanaokusifia ni wale wote ambao hawautakii mema uislam na waislam hapa tz.

Da hivi mnajua mfumo wa elimu tanzania na pillars zake. Kuna mtunga sera ya elimu, kuna mfundishaji , kuna mtunga mtihani na kuna msahihishaji. Je Joyce afanya hivi vyote. Hebu fanyeni mpango muwapelekeni wanenu hata Misri au Irani wakasome mfunguke bwana. Hamjui TZ imetunukiwa maproffesor wazuri wa kiislamu. The Late Proffessor Haroub Othman, Prof. Ibrahim Lipumba, Prof. Safari, Shivji, Prof. Haidery Amani hivi kwa nini hamuwaulizi wamefiakje. Tena mna watendaji mahiri wenye credibility. Dr. Idriis rashi, Shamte et el.
 
Ndalichako endelea kunyonga waislam na hiyo kamati yako ya kutunuku!
Na wote wanaokusifia ni wale wote ambao hawautakii mema uislam na waislam hapa tz.
]
Kweli kabisa kwani ameweza kukiendeleza kile kilichoasisiwa na wenzake cha kukandamiza jamii flani na kuipendelea nyingine

Jamani hapa wanaompinga Dr. Ndalichako wanatekeleza maagizo waliyopewa ya kumwondoa Dr. Ndalichako kwa sababu ya dini yake tu kama inavyoonesha vielelezo vifuatavyo.

Hawawezi kueleza na kutetea hoja zao na kuthibitisha dhuluma hii, lakini kwa kuwa wameagizwa hayo kwenye nyumba za ibada, ndio maana hata ulete hoja gani huwezi kuwabadili.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Watanzania tuonee aibu mambo kama haya.
 
Dr. Ndalichako anafanya kazi nzuri sana, tatizo hao wanasiasa wamezoea kuiba mitihani ili shule zao zifaulishe, sasa tangu huyu mama aingie necta kabana kila mahali ndio wanamtengenezea zengwe kumng'oa.
 
Mwanasiasa mwenyewe ni Mbunge Said Mtanda ambaye ni ndugu ya Shukuru Kawambwa.

In other words Waziri wa Elimu anatumia wanasiasa ndugu zake, kutumia DINI kumwondoa Ndalichako.

Hiyo ndio issue yenyewe. Angalia vielelezo.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Shame, shame, shame!
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Nadhani wewe ndio mpuuzi! Inaonekana hujua hata baraza la mitihani linafanyaje kazi zake. Kazi ya baraza kupima kama watoto wanaelewa kile wanachofundishwa. Kazi ya wizara ya elimu na Serikali za mitaa ni sera, kufundisha na kusimamia utoaji wa elimu kwa watoto. Baraza na wizara lazima zitengane ili kila mmoja afanye kazi yake vizuri.

Amesema lisiingiliwe na wanasiasa kwa sababu waziri ni mwanasiasa. Vile walivyofanya si sahihi hata kidogo, kubadilisha matokeo yawe nafuu ili kuwafanya wanasiasa wauzike zaidi kwenye kura. Hii ni kubaka mfumo wa elimu. Watakaokuja kuteseka ni watoto wetu mara watakapokuwa watu wazima. Wewe chekelea tu kwa division zero kubadilishwa na kuwa division four. Utayaona matokeo yake soon.
 
leo nimeona shule moja ya msingi kuanzia darasa la 1 -7 wanatumia chumba kimoja kwa shift ya saa 1 kwa kila darasa #I .T.V mchana

Wanasiasa wnaharibu sana elimu. Ukiona mtu anapinga hili mwenywe atakuwa mwanasia au anaandika ili aonekane ana post nyingi. Kama siyo wanasiasa mipango ya elimu isingevurugika kama ilivyo. Kwa kila badiliko mwanasiasa anaangalia kama atafaidikaje.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kumbe ishu ni dini... huku ndio kufilisika kabisaaaa. hao wanaomkomalia Ndalichako nawashauri mjipange upya. hamjui mnalolifanya, hamjui mnalotafuta, hamjui tatizo, kwa hiyo mtajitengenezea matatizo ya ukweli kuliko hicho kivuli cha tatizo
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Naona umetumwa wewe na Kina-Mtanda, au kama hujatumwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Hivi wewe kitendo cha kufuta matokeo na kufaulisha wasiokuwa wamefaulu unaona ni sahihi siyo? unafikiri kwa kutumia makalio wewe. Ndalichako yuko sahihi kwa asilimia 200. Mama songambele huyu jamaa katumwa!
 
Mkuu hivi huyu Saidi Mtanda ndiyo yule wakati wa Bunge alichangia sana kulikandia Baraza? Yaani kumbe alikuwa anatekeleza maazimio ya kikao maalumu kilichofanyika kabla na baada ya Bunge, na kinaendelea kufanyika hata sasa kwa mujibu wa hivyo vielelezo mara ya mwisho wamekutana Jumapili Tarehe 25/8/2013?????

Kazi kweli kweli'!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ni kweli Huyo Mbunge Saidi Mtanda ana undugu, au urafiki na Kawambwa basi naweza kusema kuwa Kawambwa ni Waziri DHAIFU SAAAAAAAAAAAANA kuliko waziri yeyeto katika historia ya nchi hii kwa sababu yeye ana mamlaka ya kumwondoa Ndalichako kwenye nafasi ile, sasa kwa nini atumie nji za kishamba namna hii kutafuta wafu wafanye maandamano wengine wapigwe tu maana tumeshachoka!

Kisa cha yote hayo, ang'olewe mtu aliye chini ya mamlaka yake. Kawambwa utawambwa sana kutokana na udhaifu wako

Mwanasiasa mwenyewe ni Mbunge Said Mtanda ambaye ni ndugu ya Shukuru Kawambwa.

In other words Waziri wa Elimu anatumia wanasiasa ndugu zake, kutumia DINI kumwondoa Ndalichako.

Hiyo ndio issue yenyewe. Angalia vielelezo.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Shame, shame, shame!
 
Waislamu acheni mawazo mgando hakuna mtu anayefelishwa kwa sababu ya dini yake pelekeni watoto wapate elimu baadala ya madrasa.
 
Kweli mazuzu hayataisha duniani. Wewe nawe zuzu
 
Jamani hapa wanaompinga Dr. Ndalichako wanatekeleza maagizo waliyopewa ya kumwondoa Dr. Ndalichako kwa sababu ya dini yake tu kama inavyoonesha vielelezo vifuatavyo.

Hawawezi kueleza na kutetea hoja zao na kuthibitisha dhuluma hii, lakini kwa kuwa wameagizwa hayo kwenye nyumba za ibada, ndio maana hata ulete hoja gani huwezi kuwabadili.

Watanzania tuonee aibu mambo kama haya.

tuache hayo mengine ambayo ndalichako anayafanya kwa siri dhidi ya waislam,
nyinyi ambao mnamtetea ndalichako vp hii kashfa ya mtihani wa somo la islamic knowledge?
Mpaka waislam walivyotishia kwenda mahakamani ndio tume ikaundwa na kugundulika kuna makosa,
tukazugwa kuwa mkuu wa kitengo cha teknohama amefutwa kazi lakini wapi!
Jamaa kakaa mtaani kidogo tu.
Sasa hivi yupo ofisini anaendelea na maisha.
Marehemu kigoma malima allah amrehemu alifuta mpango wa kufanya mtihani kwa majina na kuweka mpango wa namba sababu waislam walikuwa wanadhulumiwa.
hili la juzi
 
huyu kweli ni MUtarajiwa marehemu....maana hata kuandika kiswahil neno mtarajiwa hajui bado anaona ananyongwa....afadhar angekaa kimya tungemuona ana busara sasa amedhihirisha upumbavu wake. elimu hana,hatak kusoma ila anataka afaulu na ulalamishi juu..ndalichako kabana wale waswahili waliokuwa wanauziana mitihan sasa watu wanapata wanachostahili....mtu mwingine maamuma kabisa tena marehemu mtarajiwa hana hata matumaini anapotosha mada. kwa nin usikae kimya? au wewe hupend kuonekana angalau kidogo una kaelimu?
 
Yaani leo hii watu wanatokea na kuanza kuwasifia wanasiasa bila ya aibu yoyote!!!...wacha nishangae kinigeria eeeeeeeh! eeeeeh! eeeeeeeeeih!
 
Hivi kweli unamjua vzr ndalichako au unaropoka tu? Au hata kaka zake wako wapi na wanafanya nn? Wabunge wenye shule za binafsi walijipanga kumtoa ila wamepwaya!! Sembuse ww!! Hakuna CCM mwenye CV yake hata rais akiwemo. Tatzo hamsomi mnafeli afu mnabakia kutoa mapovu kama CCM inavyo toa mapovu kwa CDM baada ya kupigwa na M4C na Kagame.
 
Ndalichako ni mtendaji hasa. Iron lady. Her brain is 1,000 times smarter than Kikwete's
 
da hivi mnajua mfumo wa elimu tanzania na pillars zake. Kuna mtunga sera ya elimu, kuna mfundishaji , kuna mtunga mtihani na kuna msahihishaji. Je joyce afanya hivi vyote. Hebu fanyeni mpango muwapelekeni wanenu hata misri au irani wakasome mfunguke bwana. Hamjui tz imetunukiwa maproffesor wazuri wa kiislamu. The late proffessor haroub othman, prof. Ibrahim lipumba, prof. Safari, shivji, prof. Haidery amani hivi kwa nini hamuwaulizi wamefiakje. Tena mna watendaji mahiri wenye credibility. Dr. Idriis rashi, shamte et el.

na mwaka huu mtakoma na uislam wenu. Hivi maprofesa wote na dr wote hawa tz nyie mna hao tu? Shule, hospitali, na vyuo mna
 
Back
Top Bottom