Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!

Nchi hii waislamu wanaonewa mpaka kwenye virabu vya pombe. Nchi hii waislamu wataachwa kuonewa pale viongozi wote wa seikalini watakapokuwa waislamu tena wenye msimamo mkali. Ebu cheki sasa hivi rais muislamu, makamu muislamu na waziri wa ELIMU ambaye ndiyo mtendani mkuu wa wizara ni muislamu bado watu wanalalamika kuonewa. Juma mtanda ambaye alikuwa mwalimu wangu wa Gs pale kwiro high school anaelewa kwa mfumo wa usahihishaji wa mitihani haiwezekani kumpendelea mtu maana hakuna jina la mtu linaloandikwa kwenye mitihani wowote. Katika kusahihisha mtihani kila msahihishaji husahihisha swali moja tu hivyo hakuna namna ya kumpendelea mtu. Other wise mseme wanafunzi wa kiislamu wawe wanatungiwa mitihani ya kwao itakayekjwa rahisi rahisi hilo linawezekana kuwafikiria maana wanapoteza muda mwingi kwenye madrassa. Mitihani yako ya kumaliza ELIMU ya msingi itungwe kwa mfano wa shwali hili

mfano: Rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa mwalimu Julius Kambarage Nyere-- (a)lra. (b) re. (c) ru (d) ro
Hapa watafaulu wote.

uMetiririka visuri, lakini nina wasiwasi juu ya uwezo wao wa kuelewa na kutokana na kutokuwa na uwezo wataendelea kulalamika kama ambavyo mwalimu wako Saidi Mtanda anavyofanya
 
Da hivi mnajua mfumo wa elimu tanzania na pillars zake. Kuna mtunga sera ya elimu, kuna mfundishaji , kuna mtunga mtihani na kuna msahihishaji. Je Joyce afanya hivi vyote. Hebu fanyeni mpango muwapelekeni wanenu hata Misri au Irani wakasome mfunguke bwana. Hamjui TZ imetunukiwa maproffesor wazuri wa kiislamu. The Late Proffessor Haroub Othman, Prof. Ibrahim Lipumba, Prof. Safari, Shivji, Prof. Haidery Amani hivi kwa nini hamuwaulizi wamefiakje. Tena mna watendaji mahiri wenye credibility. Dr. Idriis rashi, Shamte et el.
Mbona Prof. Hamza Njozi HUJAMTAJA? AU KWAVILE UMEONA ANAJITAMBUA?
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Nafikiri sasa hivi uneona jinsi Ndalichako alivokemea siasa kwenye elimu. Nafkiri wewe utakuwa mwanafunzi was born wewe ni jipu inabidi utumbuliwe
 
Una kila dalili ya mambo yafuatayo; Mvivu kufikiri, Victim wa matokeo ya NECTA kwa uvivu wa kusoma na mvivu kuchambua unachosikia au kusoma. Ufafanuzi kidogo kukusaidia kuelewa nini anasema Dr. Ndalichako >Ukiruhusu wanasi-hasa kuingilia elimu. Kesho wataweka target za ufaulu za kisi-hasa mfano 100 kwa darasa 7 na badala ya kuweka nguvu ya kufikia ufaulu huo wao wanaweza kuweka nguvu za kulahisisha mtihani mfn. wanaweza agiza NECTA itoe mtihani usiozingatia mahitaji/ rahisi kiasi cha mtoto wa drs 4 naye anaweza faulu mtihani wa drs 7.

sasa yapata miaka miwili tu baada ya kumuondoa, ulichokisema tunakishuhudia...kama mtoa mada ni makini arudie kusoma alicho andika na ulichomueleza then aje atupe mrejesho. siku hizi kuna A, B+, B, C, D, E na F. Halafu wanaogopa kusema FAIL, wanasema SATSIFACTORY KWA GREDI D NA UNSATSIFACTORY KW E!
 
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.

Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.

Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.

Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).

Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.

Ni takribani miaka mitatu tangu uandike haya uliyoyaandika. N a kwa bahati nzuri sana nahisi ulifurahia pale wanasiasa walipofanikiwa mbinu zao na hatimaye mama Ndalichako kuondolewa pale NECTA. Hebu njoo tena utwambie hali ya elimu ikoje, pitia uone aina ya mitihani inayotungwa siku hizi, angalia viwango vya ufaulu wanavyosema vimepanda, jiridhishe maksi na gredi za A, B+,B, C, D, E na F! Je, si kuogopa kutamka FAIL kwa waliopata D na E (ambazo zimepunguzwa sana) kwa kuziita SATSIFACTORY na UNSATSIFACTORY!?
 
Back
Top Bottom