Something is cooking up.Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitutafuta hela hamna joto ndugu
Sasa ukiwa na hela hausikii joto? na mvua hautasikia?Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu
Kwa Dar halijawahi tokea ni mara ya kwanza nimehoji wazee watu wa Dar wenye muaka 80 na zaidi 6 wanasema maisha yao yote hawajawahi ona joto kama hili.Mzee mmoja nimemuhoji alizaliwa Dar 1928 na bado yupo na hajawahi toka nje ya dar anasema mara kwanza kuona joto kama hiliNilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
Uliwai kutokea miaka kama minne hivi au mitatu alooooh ilikua hatariNilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
Gari AC nyumba AC,ogisini AC,shopping mlimani city,joto linakimbia lenyeweSasa ukiwa na hela hausikii joto? na mvua hautasikia?
1984Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona.
Nikawaza tatizo liko wapi?
Na maradhi unayakaribisha mwiliniGari AC nyumba AC,ogisini AC,shopping mlimani city,joto linakimbia lenyewe
kabisa hamna cha kukoment tena.Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu
Safi sana. Kumbe na wewe mdadisi wa mambo. Lakini nafikiri huko mbeleni tunapokwenda tutashuhudia joto zaidi ya hili maana maandiko kwenye vitabu vya dini yanaonyesha hivyo.Kwa Dar halijawahi tokea ni mara ya kwanza nimehoji wazee watu wa Dar wenye muaka 80 na zaidi 6 wanasema maisha yao yote hawajawahi ona joto kama hili.Mzee mmoja nimemuhoji alizaliwa Dar 1928 na bado yupo na hajawahi toka nje ya dar anasema mara kwanza kuona joto kama hili
Kiwango cha juu cha joto kuwahi kutokea Tanzania ni nyuzi joto 37 kilichorekodiwa katika mji wa moshi miaka kama mitatu hivi iliyopitaNilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona.
Nikawaza tatizo liko wapi?
Mku unahisi jua kama linazidi kushuka. Hili jua ni kati ya mapigo 7 Mungu atatumia katika kuwadhibu wanadamu. someni biblia utalikuta ndo pigo la Nne kati ya yale Saba. Ufunuo 16:1-21Arusha linachapa kama jua liko juu ya paa....
Dora inapaaa najuwa linashuka chini....
Mpaka arusha? sasa sijui tukimbilie wapiArusha linachapa kama jua liko juu ya paa....
Dora inapaaa najuwa linashuka chini....