Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

Kikiwo

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,967
1,046
Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona.

Nikawaza tatizo liko wapi?
 
Hili joto la Dsm kumbe limefika mpaka mikoa mingine safari hii...

Kweli ni kali sana... ila mvua za masika haziko mbali inawezekana kesho tu tutaanza kutafutana maji mpaka vyumbani..
 
Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
Kwa Dar halijawahi tokea ni mara ya kwanza nimehoji wazee watu wa Dar wenye muaka 80 na zaidi 6 wanasema maisha yao yote hawajawahi ona joto kama hili.Mzee mmoja nimemuhoji alizaliwa Dar 1928 na bado yupo na hajawahi toka nje ya dar anasema mara kwanza kuona joto kama hili
 
Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
Uliwai kutokea miaka kama minne hivi au mitatu alooooh ilikua hatari
 
Kwa Dar halijawahi tokea ni mara ya kwanza nimehoji wazee watu wa Dar wenye muaka 80 na zaidi 6 wanasema maisha yao yote hawajawahi ona joto kama hili.Mzee mmoja nimemuhoji alizaliwa Dar 1928 na bado yupo na hajawahi toka nje ya dar anasema mara kwanza kuona joto kama hili
Safi sana. Kumbe na wewe mdadisi wa mambo. Lakini nafikiri huko mbeleni tunapokwenda tutashuhudia joto zaidi ya hili maana maandiko kwenye vitabu vya dini yanaonyesha hivyo.
 
Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona.

Nikawaza tatizo liko wapi?
Kiwango cha juu cha joto kuwahi kutokea Tanzania ni nyuzi joto 37 kilichorekodiwa katika mji wa moshi miaka kama mitatu hivi iliyopita
 
Arusha linachapa kama jua liko juu ya paa....

Dora inapaaa najuwa linashuka chini....
Mku unahisi jua kama linazidi kushuka. Hili jua ni kati ya mapigo 7 Mungu atatumia katika kuwadhibu wanadamu. someni biblia utalikuta ndo pigo la Nne kati ya yale Saba. Ufunuo 16:1-21
 
Back
Top Bottom