Joto kali Dar laibua mazito

ni kweli, ila mimi navumilia vyoote hivyo, sababu ya mawe,dar kuna mawe mkuu acha,
nikishayachuma ya kutosha naenda zangu chuga uzunguni kuwekeza
huu sio mji wa kuishi hadi uzeeke, halafu huna gari yenye a.c
 
Kwa joto hili Azam lazima aendelee kua tajiri na vimiminika vyake..Sio mchana sio usiku
 
Hawa TMA kila siku wanasema sababu ni kupanda kwa joto katika bahari ya pacific.lakini mbona hawatoi ushauri au hawasema kwamba tunatatizo la ukataji miti na ujenzi holela na utumiaji wa kuni ambao ndio chanzo cha hapa kwetu .tunarukia pacific.mbona nchi zilizo karibu na pacific hakuna joto kali kama hili?
 
Mafuriko yako baadhi ya sehemu sehemu ila mvua toka asubuhi inapiga.
Mhhhhh kumbe kuna watu hawayajui hayo?
Mie galaxy zangu na hata ka Huawei changu kalikuwa nayo.
Nilikuwa narefresh tu kujionea hali ya hewa.
 
Vipi bAgamoyo napo joto lipoje huko...??
 
Kweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Aisee!! Pole sana dada. Tumia baby powder hizo sehemu korofi. Na pia jaribu kuwa unapumzika bila nguo nyakati za usiku ili mwili upoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…