benjaminy
Member
- Nov 15, 2015
- 42
- 15
Kweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Vipi harufu?
Kweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Sisi wembamba kadhia kama hizi tunazisikia tuKweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Na khartoum wenye nyuzi joto 45 watasemaje?
Homeostasis na thermoregulation vinafanya kazi!Na khartoum wenye nyuzi joto 45 watasemaje?
Ila Mwanza si nasikia mna mafuriko leo?Poleni sana kweli naona kiwango cha juu cha Joto ni nyuzi joto 32 kwa Dar. Ila cha ajabu sisi mwanza toka asubuhi ni mvua mpaka sasa.... Kama Picha zinavyoonesha hapo chini. View attachment 316844View attachment 316848
Kwenye nanihii yako!umezama wapi? mwili lazima upumue joto kali sana
ni kweli, ila mimi navumilia vyoote hivyo, sababu ya mawe,dar kuna mawe mkuu acha,Hapo ndio nazidi kupata hasira na huenda labda nisije kukunyaga jiji la dar maisha yangu yote
Haiwezekani jiji lenyewe chafu,
Folene kila sehemu
Joto na hapo bado sijakutana na vibaka
Mbona watu wa dar mnahangaika sana na maisha
Jiji lenyewe limejengwa kama mchwa
kuna kiziboKwenye nanihii yako!
Hili neno 'upumue' lina ukakasi kidogo!umezama wapi? mwili lazima upumue joto kali sana
nasikia kuna mji huko oman kitu kinafikia 60 degree CelsiusNa khartoum wenye nyuzi joto 45 watasemaje?
mkuu hiyo ni program gani ya kusoma hali ya hewa?Poleni sana kweli naona kiwango cha juu cha Joto ni nyuzi joto 32 kwa Dar. Ila cha ajabu sisi mwanza toka asubuhi ni mvua mpaka sasa.... Kama Picha zinavyoonesha hapo chini. View attachment 316844View attachment 316848
Na unavyopenda joto sasa!!Sisi wembamba kadhia kama hizi tunazisikia tu
Mafuriko yako baadhi ya sehemu sehemu ila mvua toka asubuhi inapiga.Ila Mwanza si nasikia mna mafuriko leo?
Hiyo ni program ya weather ipo kwenye simu nyingi sana mbona.mkuu hiyo ni program gani ya kusoma hali ya hewa?
Hahahahaaa lisizidi sana,japo ni bora kwangu kuliko baridi.Na unavyopenda joto sasa!!
Mhhhhh kumbe kuna watu hawayajui hayo?Mafuriko yako baadhi ya sehemu sehemu ila mvua toka asubuhi inapiga.
Mke wangu katoka vipele kama mtoto hadi balaa yaniKweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Aisee!! Pole sana dada. Tumia baby powder hizo sehemu korofi. Na pia jaribu kuwa unapumzika bila nguo nyakati za usiku ili mwili upoe.Kweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.