Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Me natumia tigo,honestly ni miyeyusho sana hawa jamaa,kwa simu,sms mpaka net
hawa jamaa wa tigo mizengwe tu mtandao wao ni mbovu sana,semA tu namba yangu ya tigo ni nzuri sana iko very special sitaki kuipoteza ndio maana nimeshindwa kuukimbia huu mtandao!