Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

Wewe una akili sana,hata mimi niliona hilo kosa.Alafu kosa lingine,dereva anataka kuonesha utani na boss wake kwa kulidondosha boksi tena mbele ya Boss,kitu ambacho hakipo kiuhalisia.

hlf kingine nilichoona kinapunguza uhalisia ni joti kuendesha gari na kuzunguka round about tu hlf anaanza kuulizia njia
 
Kuna makosa yalifanyika,inakuwaje Joti apewe boksi na boss wake alafu anafanya utani kama anataka kulidondosha?kidogo nimesoma management sioni kama kuna utani kati ya mtumwa na boss hasa kwenye mambo ya kiofisi kama ilivyo kwenye tangazo.

hii inategemeana na uhusiano wa mfanyakazi na bosi wake, wengine wana utani zaidi ya huo.
 
Wewe una akili sana,hata mimi niliona hilo kosa.Alafu kosa lingine,dereva anataka kuonesha utani na boss wake kwa kulidondosha boksi tena mbele ya Boss,kitu ambacho hakipo kiuhalisia.

Hilo ni tangazo la biashara so vituko kama hvyo kiuhalisia huvutia hata watazamaji.
Pia kuna wafanyakazi huwa vituko kwa mabosi wao na kazi wanapiga kama kawaida.
 
ni zuri sana, sio lile la contineto yaan makelele tu

lile lina makosa mengi sana hadi si tusiokuwa na taaluma hiyo tunayagundua, kwanza wameigiza ktk nyumba moja na wameshindwa kulificha hilo, pili jiran anaonekana kutokea nyuma ya nyumba badala la getini hii inadhibitisha wame act ktk nyumba 1, tatu gari haikutokea popote ila ilisogezwa kidogo tu n.k
 
Tangazo zuri zaid ni la Airtel yatosha na la Coca hawa wametumia ubunifu wa hali ya juu
 
Sasa hili.tangazo linachanganya, mana joti kafika kilimanjaro anaambiwa kapotea, ina maana mtandao.wa.tgo haupo kilimanjaro au
 
lile lina makosa mengi sana hadi si tusiokuwa na taaluma hiyo tunayagundua, kwanza wameigiza ktk nyumba moja na wameshindwa kulificha hilo, pili jiran anaonekana kutokea nyuma ya nyumba badala la getini hii inadhibitisha wame act ktk nyumba 1, tatu gari haikutokea popote ila ilisogezwa kidogo tu n.k

noma sana
 
Sasa hili.tangazo linachanganya, mana joti kafika kilimanjaro anaambiwa kapotea, ina maana mtandao.wa.tgo haupo kilimanjaro au

pale mi nafikir walikuwa wanaonesha kuwa mtandao umetapakaa kwa kas ya ajabu jamaa alikuwa anaongea tu mala katokezea kilimanjaro
 
Tigo always wana matangazo mazuri sana, shida ni matangazo ya Magodoro ya DODOMA yaani ni kichefu chefu!
 
tugeukie tangazo la voda jay milion
akufaaa kuwepo zembwera badala yake angewekwa mpoki pale
 
Promo liko powa sana hili. Nadhani ni mpango wa Tigo kubana budget/matumizi. Maana wangetupia Kolabo la mtu kama Mpoki hivi, ingewa'cost (ni muhaya yule!). Hana shida na vijisenti. So,ingebidi tigo wafungue wallet vyakutosha!

NI MTAZAMO TU!

mpoki angefaa zaid kwenye jay milion
 
Huyu mzee mwalubadu...si alimtajaga nature kwenye mzee wa busara? Yule mzee mfupi anaeuza ngadu? Na yeye alipwe walau fidia
 
Back
Top Bottom