Hivi wanafanyaje pale mtu m1 kuact sehemu mbili kwenye scene moja?
Hakika Tigo lile tangazo la Mzee Mwalubadu limekaa vizuri sana. Joti nae kabana matangazo hataki kutoa kolabo noma sana ila limependeza sana.
Wakuu, mnasemaje kuhusu hili tangazo?
Hivi wanafanyaje pale mtu m1 kuact sehemu mbili kwenye scene moja?
Promo liko powa sana hili. Nadhani ni mpango wa Tigo kubana budget/matumizi. Maana wangetupia Kolabo la mtu kama Mpoki hivi, ingewa'cost (ni muhaya yule!). Hana shida na vijisenti. So,ingebidi tigo wafungue wallet vyakutosha!
NI MTAZAMO TU!
Ila kuna kosa la muendelezo wa kisa yaani 'action continuity error' wakati wa kupeana boksi awali lilionekana Lipo mikononi mwa dereva hali bado mdada anamuongelesha hali akiwa ameshika boksi I.e wote wana boksi Mara ya pili akapewa tena hilo boksi.
Nalipenda vibaya mnooooo
Hasa pale mzigo unapotaka kudondoshwa
weeeweeeeeeeeeeeeeeeee