Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

Hakika Tigo lile tangazo la Mzee Mwalubadu limekaa vizuri sana. Joti nae kabana matangazo hataki kutoa kolabo noma sana ila limependeza sana.

Wakuu, mnasemaje kuhusu hili tangazo?

hapa mjini bwana, kuuliza jelo! kuelekezwa buku!
 
Kitendo cha kujua tu ni mtu mmoja kwenye tangazo tayari kilishanipunguzia mvuto...... angepiga kolabo, babu angemuweka hata wakuvwanga au babumkombe
 
Nilikuwepo siku wakifanya hiyo scene karibu na msikiti wa ngazija Posta, aliyevaa suti alikuwa mdada mmoja katakana na Joti, baadaye ndo naona ni uso wa Joti
 
Kitendo cha kujua tu ni mtu mmoja kwenye tangazo tayari kilishanipunguzia mvuto...... angepiga kolabo, babu angemuweka hata wakuvwanga au babumkombe
Mambo ya matangazo ni suala la mkataba,so inategemea mkataba wake na tigo upoje.Na hapo hutamuona
 
...anaigiza nafasi mbili sehemu moja kwa nyakati tofauti halafu matukio yanaungwa baadaye
wenzetu waliondelea wanaweza ila kwetu ka utaalam hako naona bado utujakawezea, kwenye tangazo la tigo ni watu wawili wameigiza sio joti peke yake ndo maana hakuna sehemu hata moja ukaona sura za wote wawili kwa pamoja
 
Hivi wanafanyaje pale mtu m1 kuact sehemu mbili kwenye scene moja?

...anaigiza nafasi mbili sehemu moja kwa nyakati tofauti halafu matukio yanaungwa baadaye

Tena kwa kudhihirisha hivyo ile scene ya Joti akiombwa aelekezwe, pale yule mzee anavyoongea camera umechukuliwa ndani ya gani ikimwonesha joti kwa nyumba (kisogo) ambacho akioneshi zile nywele zake alizoziacha nyuma
 
Umeandika nini mkuu?njoo na habari kamili au unataka kila mtu aanze kulitafuta hilo tangazo?
 
Back
Top Bottom