Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

Joti na tangazo la Tigo "Mzee Mwalubadu"

jotty bonge la msanii lile la voda Zembwela hajaliwezea voda wangempa Mpoki lingekuwa poa
 
lile lina makosa mengi sana hadi si tusiokuwa na taaluma hiyo tunayagundua, kwanza wameigiza ktk nyumba moja na wameshindwa kulificha hilo, pili jiran anaonekana kutokea nyuma ya nyumba badala la getini hii inadhibitisha wame act ktk nyumba 1, tatu gari haikutokea popote ila ilisogezwa kidogo tu n.k

Mimi nimelipenda hili tangazo kama lilivyo japo sipendi mtandao wa Tigo. Utaalamu mbali lakini wengi tusio wataalamu tunalipenda. Just for the humour it carries. Hongera Tigo.
 
Back
Top Bottom