Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Wanaanzaga hvyo hvyo mnakuja kushtuka jamaa walishakuwa wanakula jicho kitaaaambooo sio k2 poa sana hata kama unaigiza ikawa too much lazma kuna ka element ka kumegwa au kujakumegwa mbeleni hatari sana
 
Aache mtampa ela ya chakula? Unajaua makampuni yanamlipa sh ngapi kwa matangazo?
 
Ni upumbavu mkubwa. Watoto wakiangalia wanakopi mambo ya kike kike. Io staili haifai katka jamii hii yny changamoto ya ushoga na kulawitiwa kwa watoto.
 
Sikumoja atatikea mzamini atampatia PESA ili akabadili jinsia awe mwanamke apo ndioataliwa kiurahisi
 
Dunia imebeba watu wa namna tofauti hii, honestly hata mimi namtamani! Kuna siku wenye jeuri watampandia dau wampakate tu na atanogewa aharibike, hakuna linaloshindikana dunia hii.
 
Pesa wazee...Sio kama anapenda ila pesa ndio kila kitu, watu wanamuona mngese ila pengine huko ndiko kwenye maslahi zaidi. Times change na sanaa ndivyo ilivyo hata baadhi ya wale waliokuwa wana hiphop leo hii wanabana pua. Ni maisha tu na utafutaji ila sidhani kama Joti mtoto wa mjini anaweza kufikia stage ya kuliwa boga!
 
yaani huku ukivaa wigi na ripstic makeup juu unaambiwa joti hatna hata rahaaaaa.
 
Pesa wazee...Sio kama anapenda ila pesa ndio kila kitu, watu wanamuona mngese ila pengine huko ndiko kwenye maslahi zaidi. Times change na sanaa ndivyo ilivyo hata baadhi ya wale waliokuwa wana hiphop leo hii wanabana pua. Ni maisha tu na utafutaji ila sidhani kama Joti mtoto wa mjini anaweza kufikia stage ya kuliwa boga!

Mkuu kuwa mtoto wa mjini siyo kinga tena hao ndiyo wameoza kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom