Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Acheni dharau kwenye kazi za watu! Huwa anaigiza kama mtoto,babu, bibi n.k,sio kila kitu cha kushadadia,was wapi nyinyi,tena wengine mnaheshimika humu,mawazo mgando haya!
 
huwa wanaanzaga hivyo hivyo, kuna siku atapewa dau kubwa na ataambiwa kuna fashion show ya kuvaa bikin, gues the next step..........
Kutafuta maisha au umaarufu au pesa kusitufanye tudhalilike ama kujidhalilisha
 
Iv Commedy za wenzetu Huko mbele mbona hawana hii kasumba..!!
Wanayo, kuna hadi takwimu zinaonesha comedians weusi wako very likely kuvaa mavazi ya kike during their career kushinda hata weupe.
 
Nimejiuliza sana joti akipata watoto je wakiona hizi video zake na picha za kike hizi itawawia ugumu kujua kati yake na mama yao nani ni baba!!!!
 
Back
Top Bottom