Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!