Mkuu, jinsi ambavyo unavyoziona sekta nyingine zikianzishiwa mamlaka ili ufanisi wa kazi uweze kufuatiliwa, ndivyoi ambavyo sekta ya habari inavyohitaji kuundiwa mamlaka itakayosimamia uwepo wa viwango vya habari za nchi hii. SUMATRA, EWURA na wengine kama hizo taasisi, pia habari zinahitaji kuwa na mamlaka makini, zitakazoondoa ukanjanja wote unaoshusha viwango vya habari.
Mkuu, mwanasiasa ambaye uhai wa uanasiasa wake hutegemea ridhaa ya wananchi siku zote hutafuta nafasi ya kuuza sura. Kwa wasiofikiria mambo kwa undani tayari mbunge huyo keshajipatia maujiko.