ITV hawaja balance story...na hii ni sababu ya waandishi wengi kumilikiwa na wanasiasa kwa vijihela.
Uko very right mkuu.
WanaJF tuacheni ushabiki mandazi.
ITV hawaja balance story...na hii ni sababu ya waandishi wengi kumilikiwa na wanasiasa kwa vijihela.
Yawezekana bado inaendelea au watakuwa wamepunguziwa au wamebakizwa wachache.Kijana wangu umekumbuka buku saba?
TBC walii cover kwa namna gani?
Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
Naona dalali...wa Ardhi ya meru unalialia....Sis wana meru tunajua maswala yetu...na bado tuna Ardhi kubwa ,tunataka irud ......Joshua Nassary ni jembe....Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
tukuaminije kuwa unachosema ni kweli supporting documents?Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
Mkuu huyu hajui udhalimu wa hapa meru....ardhi ni ndogo sanaaa......kuna wawekezaji wengi wameuziwa ardhi wakati wananchi hawana ardhi......na sio wameuziwa kihalali ,na wanalindwa na serekali.....mkuu wa wilaya aliyepita Husna pia ,analijua hili alikuwa dalali mzur sana......sasa wimbo ni mmoja meru ...tunataka ardhi yetu irud...sio et ardhi inamilikiwa na watu wa chache ...kina paul Neibala...Joshua hana hadaa hata kidogo mtoto wa watu. Hata yale yanayohodhiwa na muanzilishi wa chama kule alitaka kuyafanyia ila wakamzuia, amesuka mkakati mwingine. Kuna jamaa aliyewekwa ardhi anayetoa hati kule Meru ndiye anayemuangusha
Joshua hana hadaa hata kidogo mtoto wa watu. Hata yale yanayohodhiwa na muanzilishi wa chama kule alitaka kuyafanyia ila wakamzuia, amesuka mkakati mwingine. Kuna jamaa aliyewekwa ardhi anayetoa hati kule Meru ndiye anayemuangusha
Na Edwin Mtei amulikwe.Mkuu huyu hajui udhalimu wa hapa meru....ardhi ni ndogo sanaaa......kuna wawekezaji wengi wameuziwa ardhi wakati wananchi hawana ardhi......na sio wameuziwa kihalali ,na wanalindwa na serekali.....mkuu wa wilaya aliyepita Husna pia ,analijua hili alikuwa dalali mzur sana......sasa wimbo ni mmoja meru ...tunataka ardhi yetu irud...sio et ardhi inamilikiwa na watu wa chache ...kina paul Neibala...
Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
Sio kila jambo linahitaji document.tukuaminije kuwa unachosema ni kweli supporting documents?
Sijaonyesha chuki bali ni hoja yangu tu ya kupinga hadaa.Usipende chuki kijana,jikite kwenye hoja.Acha wivu na chuki binafsi muache Nasar afanye kazi we endelea kukaa kijiweni hapo Lumumba .
Mkuu huyu hajui udhalimu wa hapa meru....ardhi ni ndogo sanaaa......kuna wawekezaji wengi wameuziwa ardhi wakati wananchi hawana ardhi......na sio wameuziwa kihalali ,na wanalindwa na serekali.....mkuu wa wilaya aliyepita Husna pia ,analijua hili alikuwa dalali mzur sana......sasa wimbo ni mmoja meru ...tunataka ardhi yetu irud...sio et ardhi inamilikiwa na watu wa chache ...kina paul Neibala...
Nimesoma management miaka mingi iliyopita. Maoni yangu yamejikita katika uhalisia wa mada hii.Sorry kasome management ndio utaelewa nini walichofanya
ITV ni kituo kikongwe cha runinga, kila mtu anayo haki ya kuwapa maoni, ambayo yanaweza in the long run kuwasaidia. Ndio maana kwenye mahoteli na maduka makubwa kunakuwa na boksi la maoni, wanaoyaweka hayo maboksi wanajua wanachofanya. Mimi ambaye nipo kilometa kadhaa kutoka pale kijitonyama zilipo ofisi za ITV, boksi langu la maoni ni humu, jamii forum.anzisha TV yako...au angalia TV yenu TBC
ITV haiwezi kupokea maoni wa wajinga wajingaITV ni kituo kikongwe cha runinga, kila mtu anayo haki ya kuwapa maoni, ambayo yanaweza in the long run kuwasaidia. Ndio maana kwenye mahoteli na maduka makubwa kunakuwa na boksi la maoni, wanaoyaweka hayo maboksi wanajua wanachofanya. Mimi ambaye nipo kilometa kadhaa kutoka pale kijitonyama zilipo ofisi za ITV, boksi langu la maoni ni humu, jamii forum.
Wajinga wajinga kwa maana ya wewe unayeongea na mjinga mjinga au kwa maana ipi?. Mnavinyima nafasi ya kukua vyama vyenu mnavyovipenda kwa sababu ya hii stupid superiority complex ambayo inaishi ndani ya vichwa vyenu.ITV haiwezi kupokea maoni wa wajinga wajinga
Naona dalali...wa Ardhi ya meru unalialia....Sis wana meru tunajua maswala yetu...na bado tuna Ardhi kubwa ,tunataka irud ......Joshua Nassary ni jembe....