Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
- #61
Sina jazba kijana wangu.Punguza jazba.
Sina jazba kijana wangu.Punguza jazba.
Kwahiyo Unataka kutudanganya kuwa Nassari kawalipa wawekezaji? Mkuu huu ni uongo
Kwa akili hizi ipo siku mbowe atawatumbukiza.shimoniKwahiyo Unataka kutudanganya kuwa Nassari kawalipa wawekezaji? Mkuu huu ni uongo
Dah mkuu ni kweli usemavyo.Ujaona au ujapenda kilichoandikwa.
Mara ooh UKAWA hawafanyi kazi.Wakifanya unaleta fyokofyoko shame on you and your boss.Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
Kijana hao jamaa walishaachia eneo baada ya kufidiwa eneo lingine kupisha ujenzi wa ofisi za serikali.Kifupi alichofanya Nassary na genge lake ni "kuuwa maiti"Boss wacha kudanganya, Eneo lilikuwa chini na wamiliki wa Aula na Rotterdam Gardens mpaka madiwani walipovunja.
Halmashauri (baadhi ya watumishi wasio watiifu) waliliuza Kwa wamiliki hao ilihali tayari wananchi walishaondolewa na kuhamishwa.
Kijana unapenda kuonekana?Masisiieem mtajichafua sana tu. Haya mambo hayakuwa kwenu jamani, mwacheni kijana wa watu apige kazi. Aende bungeni wapi? Huko walipojifunika ka wachawi? Si lazima uonekane kule bungeni, ila wananchi huku tunamwona. Aoenekane bungeni kwani anautafuta uwaziri?
Kwa kifupi Nassary "kauwa maiti"Wana mbwelambwela tu kutafuta kuonekana lumumba
Sorry kasome management ndio utaelewa nini walichofanyaKwa hiyo unasema kuwa huyo mbunge alikuwa kwenye pilika za kutafuta kick?. ITV waliniboa siku chache zilizopita. Waliiweka habari ya waandishi wao kutwaa tuzo kuwa ni ya kwanza halafu habari sensitive ya ajali iliyochukua maisha ya watu wanne huko nyanda za juu kusini, ikawa ya pili katika habari za kitaifa!.
Nassary alichofanya ni "Kuuwa simba mfu" halafu anajitangaza shujaa.Wanasiasa wote ni wapenda kick..ila hii ya Joshua ni kali ya mwaka
Kadanganya umma ipii nyie acheni mihemko badala mfate yenye msingi mnafanya kujadl mfumo
#mmesahau
Bunge kuonyeshwa
Sukari kupanda
Mnaongelea tope
Hayo yote kuna sehemu humu yanajadiliwa.Ni vema upotoshwaji ukakanushwa ili kuweka kumbukumbu sawa.Kadanganya umma ipii nyie acheni mihemko badala mfate yenye msingi mnafanya kujadl mfumo
#mmesahau
Bunge kuonyeshwa
Sukari kupanda
Mnaongelea tope
Soma polepole utaelewa! mbunge anataka sifa kwa kazi iliyokwishafanyika!Sielewi hoja yako hapa ni nini.
Ulikuwa kikazi..kazi gani unayo wewe..
anzisha TV yako...au angalia TV yenu TBCKwa hiyo unasema kuwa huyo mbunge alikuwa kwenye pilika za kutafuta kick?. ITV waliniboa siku chache zilizopita. Waliiweka habari ya waandishi wao kutwaa tuzo kuwa ni ya kwanza halafu habari sensitive ya ajali iliyochukua maisha ya watu wanne huko nyanda za juu kusini, ikawa ya pili katika habari za kitaifa!.
Kulikuwa na mtendaji wa halmashauri pale. Na amesema bado kuna maeneo mengine. Alibomoa kwa bidii.yaani Nassary kadanganya umma eneo analosema kalikomboa tayari lipo chini ya almashauri.
TBC walii cover kwa namna gani?Habari ya wakati huu!