Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

namshangaa sana leo anaonajiona mjanja watu wangemla tigo bila timu ya nassari kumuokoa leo sijui angekuwa wapi

Hana ujanja wowote, ni mpiga nyundo mashuhuri kila atakapomuona Nassari lazima apige nyundo na anatolewa
 
Watu wengine hovyo kabisa unasomeshwa na kanisa ili elimu yako isaidie jamii matokeo yake umekuwa bogas kazi kushabikia ccm ambayo ilishindwa Hata kujusomesha
 
Hana ujanja wowote, ni mpiga nyundo mashuhuri kila atakapomuona Nassari lazima apige nyundo na anatolewa

pia nasikia kazi yake walikuwa ni kusagana na batilda sijui hako ka mchezo walishaacha?
 
habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya singisi waliyani hapa arumeru mkoani arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda john d pallangyo wa uvccm meru na pia mbunge wa jimbo hilo mbunge joshua nasary alialikwa pia kama wadau wa maendeleo ndipo hapo aibu kila mmoja wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda john pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama john pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

nawasilisha
tatizo watanzania tumesahau kazi ya mbunge.siku hizi kazi ya mbunge imekuwa kutoa ufadhili badala ya kuisimamia serikali pamoja na kuwaunganisha wananchi katika kuleta maendeleo yao.mbunge anapaswa kuwahamasisha wananchi wake kuwa self initiative kwenye vitu ambavyo wanaweza kufanya wao kama wao kwa mfano kurekebisha barabara wanazoweza kutengeneza,kuhamasisha wananchi kuhusu afya yao ,kuwahamasisha wananchi kujenga madarasa hata kwa nguvu zao pale ambapo uwezo wa kifedha unapokuwa mdogo................anaweza kuchangia cement kama anaweza,lakini sio jukumu lake kuchangia..................ndio maana siku hizi watu wenye uwezo wa kuongoza lakini hawana uwezo wa kifedha hawapewi nafasi,tunafanya kosa kubwa sana.ndio maana siku hizi kwenye kura tunanunuliwa kama vitumbua...............watanzania tujitathimini,vinginevyo tutakufa kwa ujinga wetu.
 
Huyo Palanjo si mzeekabisa mnamwita kijana. Huyu tunamjua vizuri sana. Ngoja ajilete tumpe za uso namna wanavyojilia hela ya AICC kwa kisinhizio cha Insuarance akishirikiana na Mmeru mwenzake huyo mkurugenzi wa AICC.
...
Wameru ndiyo wapiga kura unayowashambulia hauoni kama unaika Chadema kwenye hali ngumu.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

unavurugwa na huyo
 
Huyu Pallangyo si mzee kabisa wa siku nyingi na alishaiba hela huko AICC muda mrefu? Mbona hata hiyo mifiko mia hailingani na umri wake wa kuwa kazini?
Wajaribu kumchagua ndo wataona kilichomtoa nyoka pangoni. Watalia na kusaga meno. Bora Nassary amefanya mengi.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

kwanza wewe umeweka heading tofauti na habari yenyewe,hivi uongozi bora ni lazima kuchangia kila aina ya michango na harambee kwa kuwazidi wengine au hivyo ni vigezo vya ccm?

kama tutatafuta uongozi kwa kuununua kwa harambee,je si itabidi kila mtu anapopata nafasi ya kukwapua basi akwapue kama tunavyokwapuliwa sasa na ccm?
je kwa mtu kuchangia mifuko mingi ya cement,kwako wewe huyo tayari ndie mtu makini kwa uongozi?

nakufananisha na mtu mwenye mabinti wazuri asiyetaka waolewe na maskini,bali matajiri kwani wewe kwako pesa ndio kila kitu.hii ni falsafa ya ccm,na mfano tumeuona kwa makada wenu wanavyoshindana kugawa pesa kuusaka uongozi kila kukicha.hapa nchini.:lol:

kama huyu pallangyo anapenda maendeleo ya dhati kwa nini asubiri kipindi hiki cha nipe nikupe?si ni mzaliwa wa hapo meru?je alikuwa wapi tangu awali?

mwisho nakuomba uwe makini na kuacha kutumika bila kujijua au kwa kujijua na kuendekeza njaa kali na kuishia kuwa mpambe wa watu wenye pesa bila kuwajua nia zao za dhati.

pili chunga mama kaa mbali na wenye pesa.
 
DAH! Nilijua Nassari kashuta labda kumbe ni mambo ya siasa?
 
Siyo hivyo tuu!! Kusema ni rahisi sana hasa kwa hawaa magamba. Wanachoitaka ni wasifiwe baadae hawata leta hata mfuko mmoja. Kamanda Nasari tumemuona akisaidia jamii mbali mbali jimboni kwake, leo huyo Palanjo kuahidi mifuko mia ambayo hataitoa wanaona ni deal??? Hivi ni lini watu mtawajua viongozi wa Ccm na ahadi zao hewa??

Hakuna watu wenye siasa za ulaghai kama chadema, kwani Nasari hela za ubunge.za jimbo anapokea za kutosha tu, Sasa alishindwaje kutoa japo milioni moja basi!?
 
Back
Top Bottom