Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
 
Tatizo lako unamchukia sana Joshua Nassary,kiasi kwamba mpaka hoja yako inajionyesha.Pole kila mtu anatakiwa kutoa kulingana na UWEZO wake.......................

Siyo hivyo tuu!! Kusema ni rahisi sana hasa kwa hawaa magamba. Wanachoitaka ni wasifiwe baadae hawata leta hata mfuko mmoja. Kamanda Nasari tumemuona akisaidia jamii mbali mbali jimboni kwake, leo huyo Palanjo kuahidi mifuko mia ambayo hataitoa wanaona ni deal??? Hivi ni lini watu mtawajua viongozi wa Ccm na ahadi zao hewa??
 
Huyo Palanjo si mzeekabisa mnamwita kijana. Huyu tunamjua vizuri sana. Ngoja ajilete tumpe za uso namna wanavyojilia hela ya AICC kwa kisinhizio cha Insuarance akishirikiana na Mmeru mwenzake huyo mkurugenzi wa AICC.
...
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Sitategemea hata siku moja ukaja kumsema vizuri nasari

CHUKI ZAKO KWA HUYU DOGO NI CHUKI BINAFSI.

HIZI HARAMBEE TUTAZISIKIA SANA TU MIEZI HII

BAADA YA HAPO ZITAYEYUKA
 
mmaranguoriginal. anachukia kwa nini Nasari kawa mbunge na bia hamnunulii kila wakati pale kwa Donii.
Kula spice na bia tano kwa bill yangu mayenu isishuke.

Huyo John Palangyo unajua hela kapatia wapi au ukishapewa lift kwenye ile vogue unajiona ni yako.
Mbabu ajuza eti UvccM.
 
Last edited by a moderator:
HOFU ni udhaifu wa mwanadamu na kudhiirishwa nafasi ya Mungu katika maisha yetu, tungeyajua yatokeayo kesho hakuna mtu ambaye anekuwa na hofu. Kutoa ni moyo, Kutoa ni nafasi na uwezo wa mtu pia. Kwa nafasi yangu naweza sema kila mmoja wetu achangie milioni moja pasina changanua uwezo na nafasi za watu wengine.
Turejee somo la URAIA na CIVICS kazi za MMBUNGE, mimi napinga MFUKO WA MBUNGE. ni uhuni sio jambo sahihi
 
Hiv ccm kijana anatakiwa awe na umri wa miaka mingapi ?huyu palangyo anamiaka 50 ,ila bado ni kijana kwa wana ccm
 
  • Thanks
Reactions: 999
Nimeisoma Hii Mada Nimetapika Hata Chai Imenishinda Kunywa,mleta Mada Unazidi Kuidhalilisha ccm ni Kiasi Gani Kilivyo Chama Cha Washenzi Watupu,where Was The Point At? Ndiyo Nini Umeandika Lijinga Wewe? Kwanza Mnawamaliza Albino Wetu Then Unakuja Kuleta Uharo Hapa?
 
Wananchi wakiimba na kucheza huku wakiita mbunge mbunge ndo tayari una conclude kawa Mbunge?

Kwa akili hizi ni bora ungewekwa makumbisho ya taifa uwe kumbukumbu ya wajinga waliowahi patikana Tanzania.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
Mkuu UZI wako umekaa kishabiki sana/Chuki, kwani kuna tatizo gani yeye kuchangia mifuko 50 ya cement? kaka kutoa ni moyo na si UTAJIRI.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
wapumbavu sana,kazi ya mbunge ni nini?
 
ccm wako kwenye siasa tayari. na uvccm anahusika vipi na mambo ya jimboni hadi apewe ugeni rasmi? angekuwa mkuu wa wilaya sawa. angekuwa ded sawa lkn mkiti uvccm kuwa mgeni rasmi na mbunge kuwa mgeni wa kawaida ni dharau kwa mbunge. lkn kwa uungwana amehudhuria.

isijekuwa pesa zimetumika kununua kuws mgeni rasmi na amejazwa mapesa kuhakikisha anajionesha bora kwa wapiga kura.
 
habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya singisi waliyani hapa arumeru mkoani arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda john d pallangyo wa uvccm meru na pia mbunge wa jimbo hilo mbunge joshua nasary alialikwa pia kama wadau wa maendeleo ndipo hapo aibu kila mmoja wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda john pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama john pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

nawasilisha
ongezea na neno "kwa ajili ya lumumba tu" sisi wenye akili zetu timamu hatuwezi pokea hii ! Ipo low sana! Mwenzako alitukana li giant kalamba ukuu wa wilaya! Mchafue wasira sasa na wewe tukufikirie viti maalumu
 
Back
Top Bottom