Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

Ana haki kutoa zaidi ya Nasari kwa kuwa hizo ni fedha wanazotwaa kwa wananchi na hatowi Kama msaada kwa wananchi Bali ana toa Kama hongo kwa wananchi Ili wampe ubunge.

Akishapata ubunge zote hizo na zaidi ya hizo zitarudi mpaka wananchi watajuta kumfanya mbunge kuwa mbunge Wao.

asipokuelewa mkunde huyo
 
Wananchi wakiimba na kucheza huku wakiita mbunge mbunge ndo tayari una conclude kawa Mbunge?

Kwa akili hizi ni bora ungewekwa makumbisho ya taifa uwe kumbukumbu ya wajinga waliowahi patikana Tanzania.
Very good analysis
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeh kumbe nyinyiemu nao ni makamanda. hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
 
Hakuna shida maana hata nape nauye alikua kwenye kampeni wakati uleeeeee!
 
Haa haa hiyo ilikuwa rushwa ya wazi. Tatizo ccm ya sasa yameigeuza rushwa kama mbeleko ya kupata uongozi! Kama hao wananchi hawatakuwa makini itakula kwao!
 
Mleta mada ana tatizo kubwa sana la kiakili na hata kiafya hivi umri wa kijana ni miaka mingapi na aibu ipi aliyopata nasari kwanza nasikitika hata kuchangia hii mada napoteza muda wangu bure
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Nilikuja spidi nikasema AIBU GANI YA MWAKA hii..kumbe ni upuzi tuu, huna adabu na uwe mzalendo , unamkumbuka yule alie changia 5000 kule njombe?
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Huyo John D ndo nani? Kama anauwezo mkubwa kwanini hakufanya hayo kabla? Hizo ni kampeni kwa style ya rushwa. Me ningefurahi kama nassari angepewa kipindi kingine aweze kusimamia yale aliyo yaanzisha. Ukiona mtu anataka kuongoza kwa kushawishi kwa pesa ujue huyo hafai hata kidogo!
 
Mwambieni na Mtemvu wa Temeke kule Mbagala shule haina madawati wanakaa chini.. Naye aende akatoe madawati. Alafu wewe sio Mmrangu wala Mchaga. Hivi ni lini Jimbo la Vunjo (Marangu) mliliongoza nyie MaCCM??
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Mmaranguorigional upo mkuu? Ebu nisaidie harambee ipo kwenye majukumu ya msingi ya mbunge? Na jee hivi kwenye harambee kunakuwaga na mashindano ya kutoa kama kwenye mnada? Na Kama Pallangyo ndo alikuwa mgeni rasmi huoni kama alichotoa kiliendana na ugeni rasmi? Sidhani wala kufikiri kama wameru walimchagua nassari kwa ajili ya harambee!
 
katoa mifuko 50 toka mfukoni mwake,unajua huyo pala katoa kutoka wapi?,that is political strategies 2015 imefika,mtaona mengi na mtasikia mengi...
 
Ukitaja CCM kwetu Meru ni sawa na jeneza linasubiri kufukiwa tu.
 
yaan kumbe mtu akitoa kikubwa next time anakuwa mbungee duu we jamaa mbona akili yako hafanani na unachoongeaa.....!
but my take .....we jamaa ni uvccm na umeanza kampenii siyo but
kwa dizaini hiyo umechemkaaa...!
 
Back
Top Bottom