Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

Tanzania ya sasa haihitaji wafadhili kama wa simba na yanga bali inahitaji wasimamizi wa pesa zinazoelekezwa kwenye maeneo husika.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
watanzania tunatumika vibaya sana, we kiumbe hivi hata akili ya kuvukia barabara wamekubakizia kweli?
 
Mkuu KombaJr, umepotea sana mpambanaji mwenzangu nipo hapa sinza Mori na kamanda John Pallangyo tunapata mturaa kidogo na kupeana mikakati ya kurejesha jimbo toka kwa dogo nasary

Mkuu nilipita mitaa hiyo nikaona vogue ndo ya JD? Sasa mipango ya kuchukua jimbo mnafanyia Dar? MmaranguOriginal ahadi yangu ya mtura ipo pale pale hata kama JD akidondokea pua
 
Kweli tuna safari ndefu ya mabadiliko...ahadi zooote tulizoahidiwa bado tunawehushwa na ahadi mpya? Na msimu huu, ama watatukomesha...
 
Ahahhaah wa tz ndo tunadanganywaga hvyooo tuna angalia hatua 3 na kusahau kwamba tuna thousands of KM ahead of us..Labda mtoa maada tafuteni kwingine Ila Arusha hata muue albino wote Lile jimbo Sahauni
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Hata ukijitahidi kumchafua Mh Nasari ujue hutoweza kwani siyo saizi yako na huwezi kushindana naye.Utaishia kupiga kelele tu na njaa zako
 
ongezea na neno "kwa ajili ya lumumba tu" sisi wenye akili zetu timamu hatuwezi pokea hii ! Ipo low sana! Mwenzako alitukana li giant kalamba ukuu wa wilaya! Mchafue wasira sasa na wewe tukufikirie viti maalumu

Huyu mmarangu ana wivu wa kike.
 
Kutoa hela nyingi kwenye sehemu kama hizo sio kupenda maendeleo, hiyo ni kuhadaa wanainchi.
Kumbe hata mimi nikitoka Mwanza nije nitoe mifuko mia tano mtanipa ubunge?
 
HAKUNA WA KUMTOA NASSARI ARUMERU HYO GAMBA PALANGYO HANA JIPYA NA PESA ZAKE ZA UFISADI:lol:
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha

Nashangaa sana kwamba bado unashabikia ccm, nawewe ni kijana tena wa Arusha? nyie ndio mnaoifanya ccm iendelee kuwepo huko
 
Back
Top Bottom