Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Nimecheka......Hivyi na wewe ukakaa ukaanza kuandika huu upuuzi ukidhani ni habari??
Habari za humu nawasalimu sana.
Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.
Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.
My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati
Nawasilisha
Mhuni ni babu anayetumbua ruzuku ya chama na mushumbuzi kule karatu na mbowe na mukya Dubai hawa ndio wahuni.
Ndio mchango Wangu huu kutoa elimu dhidi ya utapeli Wa nasary meru humu jf.
Una swali jingine kuntu.
Habari za humu nawasalimu sana.
Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.
Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.
My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati
Nawasilisha
Humuwezi Nassary wewe utaishia kupiga mikelele yako hapa Jf pambafHabari za humu nawasalimu sana.

Wewe dogo una chuki binafsi sio siri.
Mkuu alipata aibu sana kuona ameabishwa na kamanda John Pallangyo.
Bora ya huyo aliyechangia mifuko 50 ya Saruji - Vipi yule aliwadanganya wanaKigoma kuwa ataigeuza kuwa Dubai?
Humuwezi Nassary wewe utaishia kupiga mikelele yako hapa Jf pambaf
Matapeli,wahuni ,wavuta bangi na majambazi wakubwa wapo ndani ya ccm kama wewe ulivyo muhuni.
Nasary kazi kununua mashamba makubwa hapa meru hana mpango na wananchi
Mbona umepaniki sana kumbe ukweli unauma punguza jazba muhuni wewe