Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?.....
leteni basi hizo zisizopikwa? mbona maneno maneno mengi? mbona mara nyingi tu hapa watu wankuja na tkwimu katika kuelezea mambo na watu hawapingi na wanazitumia? hiyo kupika au kupikwa inahitaji justification otherwise bado tunatumia takwimu hizi hizi!Takwimu ni kitu cha kurahisha sana lakini kinaweza kukupa kilio pia. Hata uchumi wa nchi yetu nao umekua cha ajabu na machungu ya maisha nayo yako juu. World bank ni nini bana,UNDP nini bana! wote wana malengo yao na wamewekeza kimiradi ambayo asilimia kubwa ya hela wanajirudishia wao kama consultancies na kusema hali imeboreka ni vyema kwao ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendeleza miradi yao. Fiki huko vijijini uone kama kuna hiyo dalili ya kuishi miaka 58. Hakuna zahanati na ikiwepo ni gofu hakuna dawa wala muuguzi, hiyo 58 wameipata kwa kuangakia register Agha Kan au Hindu Mandal, au ni takwimu toka AAR? Jamani maisha ya watanzania ni magumu mno,wanaofika vijijini kwa shughuli zao mbalimbali watachangia. Ati hali imeboreka,hebu tuangalie na takwimu za vifo na magonjwa japo mawili tu, malaria na ukimwi halafu tujiulize hiyo life expectancy ya 58 takwimu ni za wapi? Za kupika tu hizo.
Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?
Hizi takwimu za Zomba hazijatolewa leo, ni za siku nyingi na zimetolewa kwa public na sikuona mkipingana nazo! ishu hapa ni wapi Nasari katoa hizo data za 47, kama unajua leta hapaZomba ndo kachemka huyu analisha watu sumu maana data haziendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania. Nassari hata kama kakosea lakini uhalisia wa maisha ya mtanzania unaonekana au zomba anaishi Marekani?
Zomba ndo kachemka huyu analisha watu sumu maana data haziendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania. Nassari hata kama kakosea lakini uhalisia wa maisha ya mtanzania unaonekana au zomba anaishi Marekani?
jibu: zomba
Kama wewe hujui si ukae kimya tu au uje na huo utafiti uweke hapa. UNDP na link nimekuwekea na walivyofanya utafiti wao wanaelezea. Wewe kumbe ni walewale?
Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?
Unachosema ni ukweli mkuu, tatizo la watu hapa JF wana mambo ya uchama, ndio unawaaribu kabisa yaani wanaangalia nani kasema nini, kiuhalisia dogo nilivyomuona jana alichemka anachuakua mambo ya vijiweni kama yalivyoDogo haku check facts zake kwanza.
Ukiwa unaonega kitu ambacho huna hakika nacho hutakiwi kuwa too specific.
Unajua hawa viazi hawa wanaogomea tafiti kama Census ndo tatizo kwenye nchi hii!
Wako fasta kukimbilia report za UN na World bank.......Zipo sahihi kiasi gani?
Kwamfano, Mtu akisema HIV prevalence ni 12%, utabisha bila kumuuliza hiyo ni Tanzania, Iringa au Kigoma? je utakurupuka bila kumuuliza ni mwaka gani na data za lini?
Labda anaongelea katika level ya domestic.......kwa maana jimboni kwake.
Please.....!