Usiende nje ya mada, kama unataka kikwete aombe radhi anzisha uzi mwingine, hapa tunaangalia Dogo katoa wapi data za miaka 47 , kama unazo leta hapakikwete atuombe radhi kwa kutudanganya ya kuwa atatuletea maisha bora kwa kila mtanzania, lakini zaidi sana kwa kushindwa kutekeleza dhana aliyoiasisi ya kujivua gamba ndani ya ccm, lakini atuombe radhi kwa kuiporomosha thamani ya shilingi yetu, kikwete ATUOMBE RADHI WATANZANIA KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA UCHUMI KWA NJIA IPASAYO, TAZAMA MAFUTA YA PETROL, DIEZEL NA MAFUTA YA TAA HAKUNA NCHI NZIMA!!!!!!!!!!!!!! Kikwete kapewa nini na wafanyabiashara wa madawa ya kulevyaaaa!!!! alituambia "orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ninayo" au biashara hiyo ni halali nchini kwetuuuuu!!!!!!!
Shida ni kwamba mnatetea bila kuleta wapi hiyo ya miaka 47 imepatikana.. tuwe wakweli tu hapa dogo alikurupuka
Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka......
kwani sisi tumekuja kumtetea nassari au tunatetea uhalisia wa data? kwa hiyo kwakuwa nassari kata wrong na nyie mnapika data zenu huko Lumumba ili mlete ubishi jamvini? hata hivyo 47 ya Nassari inakaribiana na ukweli kuliko hiyo iliyotoka Lumumba ya 58, loh!......
Hapana wewe ndio muongo, mimi nilimsikia alisema 52. Weka clip tusikilize
Hapana wewe ndio muongo, mimi nilimsikia alisema 52. Weka clip tusikilize
Ninayo orodha ya viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.......ni...
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.
Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.
Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.
Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana.
Inawezekana hakukurupuka ila source yake ndio haijajulikana bado....hatupaswi kusema mengi ila source nyingine huwa si za kweliShida ni kwamba mnatetea bila kuleta wapi hiyo ya miaka 47 imepatikana.. tuwe wakweli tu hapa dogo alikurupuka
Ingawa kuna takwimu (sources) za kila aina katika mambo ya msingi hapa TZ hata unashindwa kujua ipi ndo sahihi maana hatutengenezi sisi wenyewe.
Hata wewe nawe umekosea tuu, maana umetupa Life expectance at birth (female) badala ya Life expectance at birth (Total).
kuwa makini ndugu katika kusadikisha watu wamesoma huwezi danganya danganya unavyotaka wewe.
..........
Dokta Mkumbo, kwa hiyo avatar (unajuwa kuwa avatar ni neno lenye asili ya Asia) yako nilidhani una matatizo ya macho tu, kumbe hata ya masikio unayo! Inabidi uonane na Dokta Ulimboka haraka sana akufanyie uchunguzi wa masikio, utakuwa huwasikii vijana wanapokuuliza chuoni......