Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Joshua Nassari adanganya "live" ITV

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,935
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.

Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.


tanzania-life-expectancy-at-birth-female-years-wb-data.png

Source: Life expectancy at birth in Tanzania

Na hizi nyingine:

Chanzo kilichotangazwa waziwazi mbele ya waandishi wa habari, hizo takwimu za Nassari za miaka ya utawala wa Nyerere, nna uhakika hata yeye alikuwa bado hajazaliwa.

UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?

expentance.jpg
Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDP's Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.

According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.

Source: Tanzania

Ndio hizi hapa data zenyewe:

attachment.php


zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf


Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana.
 
Amekuwa muongo, mzushi tangu aanze kujishughulisha na masuala ya siasa.

Alianza kwa kutudanganya kuwa atamuoa HALIMA MDEE, hiyo haikutosha akaja na madai ya kutaka Kaskazini wajitenge na sasa anakuja takwimu feki za life expectancy ya mtanzania. Huwa simuelewi kabisa huyu dogo kwa jinsi anavyokurupuka na maneno utafikiri sungura aliyekurupushwa na Mbwa toka kichakani.
 
Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana......[/QUOTE]

Source yako ni ipi? Maana hata takwimu toka UNDP zina collaborate na alichosema Nassari! Na hakuna takwimu yeyote inayoonyesha improvement kwenye life standard za Watanzania which means takwimu yeyote ya enzi ya Nyerere itakuwa bora zaidi!
 
Source yako ni ipi? Maana hata takwimu toka UNDP zina collaborate na alichosema Nassari! Na hakuna takwimu yeyote inayoonyesha improvement kwenye life standard za Watanzania which means takwimu yeyote ya enzi ya Nyerere itakuwa bora zaidi!.....

Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka.
 
Source yako ni ya wapi? ungemuuliza nae kaitoa wapi, maana ninavyoijua Tanzania, hatuwezi kuwa effeiciency kiasi hicho, maana pamoja na data tulizonazo, idadi ya watanzania ni Tatizoooo

..........
Amekuwa muongo, mzushi tangu aanze kujishughulisha na masuala ya siasa. Alianza kwa kutudanganya kuwa atamuoa HALIMA MDEE.

Hiyo haikutosha akaja na madai ya kutaka Kaskazini wajitenge na sasa anakuja takwimu feki za life expectancy ya mtanzania.

Huwa simuelewi kabisa huyu dogo kwa jinsi anavyokurupuka na maneno utafikiri Sungura aliyekurupushwa na Mbwa toka kichakani.
 
Kani hizo si data tu ambazo mtu yeyote mwenye dhamana anaweza kuzipika na zikawa zinatumika kama takwimu halali?

Unadhani matokeo ya sensa ndo yatakuwa ukweli halisi?
Matokeo ya kura huwa ni ukweli halisi?
 
Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana......

Ndiyo wabunge wetu jamani, tuavumilie tu. Ukiwa na mbunge ambaye ana utoto, ulimbukeni ukachanganya na kuwa mweupe kichwani lazima ufike mahali umhurumie.
 
Nakuunga mkono, kwanza yaani 2002 ilikuwa 52, then 2010 imekuwa tu 58, wakati tunajua maisha bora yalishindikana, sasa, mwenzetu takwimu zake kazitoa wapi?
Source yako ni ipi? Maana hata takwimu toka UNDP zina collaborate na alichosema Nassari! Na hakuna takwimu yeyote inayoonyesha improvement kwenye life standard za Watanzania which means takwimu yeyote ya enzi ya Nyerere itakuwa bora zaidi!
 
Kani hizo si data tu ambazo mtu yeyote mwenye dhamana anaweza kuzipika na zikawa zinatumika kama takwimu halali?

Unadhani matokeo ya sensa ndo yatakuwa ukweli halisi?
Matokeo ya kura huwa ni ukweli halisi?

Jina lako tu utata mtupu unataka kukwapua ukweli uwe uongo na uongo ndo uwe ukweli.
 
kukurupuka kupost jf siyo vizuri .... fikirisha akili yako

kila taasisi Ina matokeo yake ya utafiti ...hata Uamsho wanaweza kutoa life expectancy data ....mungu peke yake ndiye mwenye kujua standard life expectancy tena ya individual
 
Kwanza data yako ya mwisho ni 2010. Kuna miaka mbili mbele umesoma ungwini nini wewe!
 
Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka.
Umeonae. Unajua mkuu ndiyo maana uwezo wa Wabunge wetu haukui hata kidogo, hata jambo la kizushi tunawapigia makofi kisa eti wewe ni mnazi wa chama anachotoka.
 
Nakuunga mkono, kwanza yaani 2002 ilikuwa 52, then 2010 imekuwa tu 58, wakati tunajua maisha bora yalishindikana, sasa, mwenzetu takwimu zake kazitoa wapi?

Walewale waliojazwa Ubaguzi wa Ujinga. Weka wewe takwimu zako za mwaka huu au mwaka jana au mwaka juzi zinazokubaliana na za Joshua Nassari. Mimi nimeweka na source na link unaifata unasoma ukipinga unakuja na zako na source na link.
 
Kwani "Life expectancy" kwa kiswahili ni nini??
 
aisee zomba unatafuta umaarufu? hizo data zimeongezewa kumi moja ili CCM wapate mtaji, the real data hazitoki ofisi za CCM kaka.
 
Back
Top Bottom