Mbona haya ni mashambulizi ya kujitakia tu! Kwa UMRI na HADHI yake kwa WATANZANIA, Dr Slaa anapaswa kuwa kioo chetu sote. Awe makini tu na hawa akina mama. Wamewaangusha wengi.
Mwita Maranya,Hakuna cha ukali hapo, ni suala la kupima na kujiridhisha na aina ya maswali unayouliza yaendane na jinsi yako!! Kuna maswali mengine mwanaume huwezi kuuliza mkuu.
Nadhani unatakiwa kujifunza zaidi utaratibu na kanuni za kanisa katoliki juu ya sakramenti ya upadrisho. Vinginevyo tutabakia kufurahia kwa sababu ya ushabiki na chuki zetu dhidi ya watu fulani tu.
Sijakusoma kwa jazba wala munkari mkuu, huo ndio ukweli wenyewe. Na usisahau kwamba wewe ni "kijeba" hapa JF tunakusoma mara nyingi sana mkuu.
Hakuna cha ukali hapo, ni suala la kupima na kujiridhisha na aina ya maswali unayouliza yaendane na jinsi yako!! Kuna maswali mengine mwanaume huwezi kuuliza mkuu.
Mahimbo na Josephine sio WATU wetu. Hao ni kama mimi na wewe tu. Dr Slaa yuko ngazi nyingine kabisa katika Jamii yetu. Akikosea, iwe ni kwa bahati mbaya sana.Kwanini ashambuliwe bila kutaka kujua kilichomtoa josephine kwa mahimbo? maana ni rahisi kwa sisi tusiompenda kumshambulia Dr. Slaa bila kujua kilichowafikisha hapo wote watatu.
Nilimuuliza gaijin hapo kabla kwanini tunamshambulia mtu mmoja tu bila kuangalia wahusika wote watatu? sasa na wewe nataka utusaidie hapa kwanini unamshambulia Dr. Slaa pekee, una taarifa za mahimbo na josephine?
Kumbuka hii ni "NDOA" yake ya tatu:Hii ni dhana tu ambayo mnapenda kuishabikia sana wale msiokubaliana nae katika masuala ya kisiasa, mnaona kwamba hapa ndipo mahali pekee pa kumnanga, lakini kwakuwa hili si jambo jipya katika jamii ndio maana watu hawachukulii maanani kiviiiile!!
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
Mkuu nafuatilia mjadala kwa karibu kabisaKwanini ashambuliwe bila kutaka kujua kilichomtoa josephine kwa mahimbo? maana ni rahisi kwa sisi tusiompenda kumshambulia Dr. Slaa bila kujua kilichowafikisha hapo wote watatu.
Nilimuuliza gaijin hapo kabla kwanini tunamshambulia mtu mmoja tu bila kuangalia wahusika wote watatu? sasa na wewe nataka utusaidie hapa kwanini unamshambulia Dr. Slaa pekee, una taarifa za mahimbo na josephine?
Sasa mwalimu, nataka tuzungumze hapa bila ushabiki ili kuelimishana na kusaidiana kwakuwa mambo haya yanatokea kila siku.
Ikiwa Josephine anatambua kwamba aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini kutokana na sababu ambazo sisi hatuzijui tukaja kumkuta anaishi na Dr. Slaa, kwanini lawama anabebeshwa mtu mmoja tu hapa? mbona hatujipi jukumu la kutaka kujua kilichomtoa kwa mahimbo ili tuwe fair kwa watu wote watatu?
kumbe miongoni mwa chadema kata wapo angalau wenye akili na uthubutu wa kuhoji eeh!Mkuu nafuatilia mjadala kwa karibu kabisa
Naomba nilisemee hili la kwanini asakamwe Dr Slaa, staki kuamini kama hujui kwanini Dr Slaa anatazamwa yeye zaidi katika hili(rais mtarajiwa huyu bana)
Lakini pia, hivi matatizo ya mume wa Josephine na mkewe yanahalalisha Dr Slaa kufanya aliyofanya, na kwanini asinge mshauri kwanza "mchumba wake" avunje kwanza ndoa ya awali kisha yeye aendelee? hali ya kuwa sote tunajua Dr anajua vizuri sana hii dhana ya ndoa maana amefungisha nyingi na amesuluhisha na kushauri ndoa lukuki
hivi dr sio padre tena?alifanya nini huko madhabauni kilichomfanye avuliwe upadre ambacho anadhani akiwa hatakirudia?
Hii ni dhana tu ambayo mnapenda kuishabikia sana wale msiokubaliana nae katika masuala ya kisiasa, mnaona kwamba hapa ndipo mahali pekee pa kumnanga, lakini kwakuwa hili si jambo jipya katika jamii ndio maana watu hawachukulii maanani kiviiiile!!
Poor minded only can discuss this foolish thread.
Wewe ukajibugi hiviKama TALAKA haijatolewa, Dr Slaa alikuwa anafanya nini na huyu dada?
Halafu tena wewe ukaulizaga hiviacha unafki na maswali ya kitoto!
Mzima lakinilazma atakua alimega muumin kikazanda! Lolz