Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu

Sasa angekuwa na domo bubu angempata vipi Josephine?au wake za watu ndo wanatongozeka kirahisi?inaelekea una uzoefu na mkeo kutongozwa na kukubali kirahisi.crap
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.

Kweli wanaume wengine ni kituko yaani mwanamke hakutaki wewee hutaki kumuacha!!!!
 
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!

Huyu mtoto(mjukuu)wa miezi mitano wa jamaa anaitwa nani?inafaa tumjue ili tuwe tunamuita baba fulani kumlindia heshima maana haifai kumwita jina mtu mzima kama yeye tunafanya hivyo kutokana na yeye mwenyewe kuficha sana maisha yake ya ndoa na familia yake,hata watoto wake hawajulikani kama wapo zaidi ya huyu wa miezi mitano!
 
wewe unapata faida gani na hii kitu? Mbona talaka za mama zenu hamzileti hapa jukwaani?

Ikiwa Wema Sepetu anajadiliwa kuachana na mchuchu tu wake, itakuwa mtu anaepika na kupakua jahara na Dr.Slaa!

Kujadiliwa wajibu
 
Dr Slaa atatueleza vizuri tuelewe. Yeye pia ana sacramenti ya UPADRE ambayo ina hadhi sawa na ndoa. Ameshaivunja rasmi na Pope ameridhia? Mzee wetu huyu nae kwa ujasiri!
 
Kwani mumewe Josephine alipoenda mahakamani mlifikiri kenda tu bila hata chembe ya sababu?

Kwahiyo mwalimu unataka kututhibitishia kwamba mke wa mtu anaweza kuibiwa, kama wanavyodai baadhi ya watu.

Kwa mfano wewe unaweza kuibiwa na mwanaume mwingine toka kwa mumeo? (samahani lakini kwa kukutumia wewe kama mfano)
 
Dr Slaa atatueleza vizuri tuelewe. Yeye pia ana sacramenti ya UPADRE ambayo ina hadhi sawa na ndoa. Ameshaivunja rasmi na Pope ameridhia? Mzee wetu huyu nae kwa ujasiri!

Ana watoto aliozaa hapo awali....unalijua hilo pia?
 
Huyu mtoto(mjukuu)wa miezi mitano wa jamaa anaitwa nani?inafaa tumjue ili tuwe tunamuita baba fulani kumlindia heshima maana haifai kumwita jina mtu mzima kama yeye tunafanya hivyo kutokana na yeye mwenyewe kuficha sana maisha yake ya ndoa na familia yake,hata watoto wake hawajulikani kama wapo zaidi ya huyu wa miezi mitano!
Anaestahili kumuita mtu "Baba fulani" ni mkewe tu. Ndie mwenye uhakika na hilo. Sisi wengine tuendelee kumuita kwa jina lake tu.
 
Kwahiyo mwalimu unataka kututhibitishia kwamba mke wa mtu anaweza kuibiwa, kama wanavyodai baadhi ya watu.

Kwa mfano wewe unaweza kuibiwa na mwanaume mwingine toka kwa mumeo? (samahani lakini kwa kukutumia wewe kama mfano)

Dhana nzima ya mtu na akili zake "kuibiwa" ni tete, lakini kisheria Josephine hadi leo hii ni mke wa mtu mwengine, hilo lipo wazi
 
Ikiwa Wema Sepetu anajadiliwa kuachana na mchuchu tu wake, itakuwa mtu anaepika na kupakua jahara na Dr.Slaa!

Kujadiliwa wajibu

anza kuweka ya mama yako kwanza, ueleze kabla hajakutana na baba yako alikuwa na mabwana wangapi then tujadili ha hao wengine
 
Kama TALAKA haijatolewa, Dr Slaa alikuwa anafanya nini na huyu dada?

Samahani mkuu, hili swali halistahili kuulizwa na mwanaume (mara zote nimekuwa nikiamini kwamba wewe ni he!!), kama nilikuwa wrong unisamehe bure.
 
Samahani mkuu, hili swali halistahili kuulizwa na mwanaume (mara zote nimekuwa nikiamini kwamba wewe ni he!!), kama nilikuwa wrong unisamehe bure.

Halistahili kuulizwa na mwanamme kwa sababu gani? Hebu maelezo kidogo
 
Back
Top Bottom