Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Mpunumpunyenye

Senior Member
Dec 7, 2011
114
50
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
 
Alitaka tumpe Urais kumbe ni mwizi wa wake za watu!
Kumbe Josephine hajawahi hata kupewa talaka na Bw.Mahimbo?
kwa kiswahili fasaha huu ni ufuska uliokubuhu.
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.

Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu

uwezo wako wa kufikiri umekufikisha hapa?
 
Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu

Ni kweli domo lake ni bubu, yaani anashindwa kusema nao hata wale walioko ndani ya chama? Mbona wako wengi tu na nina uhakika hawawezi kumkataa?
 
Back
Top Bottom