Josephine Mshumbusi ajifungua

Nasikia Dk slaa amepata kijana. kwa kuwa mazingira ya UCHUMBA, mitikisiko ya mapambano aliopata mzazi wa mtoto huyo(Mchumba wa dk slaa) akipigania uhuru wa pili wa mtanzania ni wazi mtoto huyo anahitaji kupewa jina kama Kumbukumbu.
akizaliwa ktk mazingira magumu(mapambano ya mama yake na Polisi Arusha) huku baba yake akiwa na kesi mahakamani. ni wazi jina linalomfaa kijana huyo ni
"Ibrahim"
 
Hongera Dr Slaa, bila shaka mtoto huyo ana trait za upiganaji kama zako!
 
Nasikia Dk slaa amepata kijana. kwa kuwa mazingira ya UCHUMBA, mitikisiko ya mapambano aliopata mzazi wa mtoto huyo(Mchumba wa dk slaa) akipigania uhuru wa pili wa mtanzania ni wazi mtoto huyo anahitaji kupewa jina kama Kumbukumbu.
akizaliwa ktk mazingira magumu(mapambano ya mama yake na Polisi Arusha) huku baba yake akiwa na kesi mahakamani. ni wazi jina linalomfaa kijana huyo ni
"Ibrahim"
sitaki nionekane mdini lakini hilo jina ni la kiislam na slaa ni mkristo..labda majina hayamaanishi kitu.(correct me if iam wrong)
 
Kisayansi wanasema kama hatua ile ya yeye kazama kwenye struggle yake ya kisiasa na maamuzi magumu ya kimikakati ya kupambana na dola na kuelimisha umma na ndio kipindi hicho mimba ilitungwa kinauwezakano mkubwa mtoto genetically anadapt character za wazazi wake.Kiasi kuwa wakati atakapokua mtoto huyo akakumbana na masahiba yake yeye kwa namna yake yeye ataweza kuyapambanua matatizo hayo yatakayomsibu kwa namna nyepesi kulikoni Mtoto wa Mtu ambae hakupitia songombingo aliypita DK Slaa na Mkewe wake.
 
Ibrahim ni jina la kikristo na cc kama wakristo huwa naamini ni kuwa Ibrahim ni baba wa imani lakini mimi naona aitwe Emmanuel yaani mkombozi wetu
 
ilo jina la kikisto bwana mbona mi milisoma seminari na mtu anayeitwa Ibrahim

jina common kwa dini zote, halafu nawaomba tuache kutafsili majina na dini, mie majina yangu yote yana mlengo wa dini ya kiislam na mimi ni mkristo, sekondari watu walijua nimechakachua jina kumbe sio ila wazazi ndo walibadili dini.

''chonde chonde huyo mtoto asipewe jina la ibrahim, mzee wa CCM B atajisifu, teh teh teh! natania tu''.
 
wanamagwanda bwana, wameshasahau mambo ya Arusha!
hongera sana Mama yetu Josephin, mungu amlinde na ampe maisha malefu kamanda mpya, slaa umepata kamanda atakae endeleza fikra zako za utetez wa wanyonge ktk taifa letu. Hakika we are happy 4 u makamanda wote tanzania.
 
Hilo jina halifai kabisa, atamuambukiza uzembe, ufisadi na safari nyingi zisizo na tija kwa familia na taifa lake.
hivi hawa walifunga ndoa lini? natoa shilingi kumpongeza dr........kwa hadhi yake na umri alionao kuzaa nje ya ndoa ni utovu wa nidhamu na atapongezwa na wale wahuni tu.............ni maoni tu
 
Back
Top Bottom