Sijui kwanini waliamua kuzaa, anyway ni mambo yao binafsi.
Hongereni wazazi wapya.
Mumlee mtoto vizuri siyo kila siku majukwaani mnamuacha na yaya. Dr Slaa tunataka kukuona ukimpeleka Marry brown unambembeza, na vi-joint vyote vya michezo ya watoto, ucheze naye kidalipo, kalale nacho, a-ring-a-ring-of-roses, etc. Kwasasa kila wakati umsindikize mama akimpeleka clinic kupata chanjo. Uzazi ndiyo huo, na ubaba ndiyo huo siyo kubebesha mimba tu, halafu unaachia mtoto jamii. Uonyeshe BAVICHA mfano na wana CHADEMA wote!