Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

Ma-CCM ni mafisi,, yaani yanaacha wagombea wazuri yanapeleka mchekea? Yaani hata Prof. Safari yameona hawezi? Hii inaonesha yameogopa wabunge wao wasipigwe ma-gap kule bunge la A.M!! Ukiwa na akili fupi kama majitu ya ccm ni aibu!!
 
Kwa kweli, Tanzania bado sana, wamewachinjia baharini watu wenye uwezo.

Aiseeeeeh, Tanzania yangu,,, Nyerere arudi tu atukomboe.

Ndugai, aliuliza siku ile kati ya huyo.na huyo ni nani mwanamke, mbona leo, amechekelea na kupongeza mbona hajauliza kuhusu hayo matokeo kuwa mwanaume ni nani kati ya Pamela na Josephine!??

Daaah, Tanzania, eeeh, Hayati Mwl. Nyerere njoo uiondoe sisiemu yako wewe mwenyewe aiseee!!!
kama wabunge waliyo chaguliwa hawana uwezo wakulaumiwa chadema ndiyo waliwapendekeza wanawake mbumbumbu
 
Mimi kwa maoni ya haraka tu pamoja na kwamba wamepita but walioshindwa wako vizuri zaidi . kilichomfanya yule Masai akashinda ni kumsifia magufuli katika maelezo yao ya interview na ndio maana ccm walimshangilia
 
Kwa hili la leo kwa kuchagua wawakilishi kwa mihemuko, badala ya kuangalia uwezo, ningemuomba Prof. Ndalichako na NECTA, wafanye ukaguzi wa vyeti vya elimu ya wanasiasa maana siyo kwa akili hizi za kichekechea na wao kujiita mhe, prof, dr, na majina makubwa makubwa yote mara oooh oooh honourable n.k , fake kabisa na viazi sana

Ni aibu, kwa bunge, kwa sisiemu na taifa kwa ujumla kama tutaendelea kwa upuuzi kama huu wa kivyama badala kuchagua watu wenye uwezo mkubwa kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa.

Mfano, kenya na uganda wanapeleka watu wenye uwezo hadi rwanda na siyo huu ujinga wa Tanzania unaofanywa na darasa la saba na walisiokuwa na wenye vyeti fake wamejazana kwenye siasa huku wakifanya maamuzi ya ukiazi!

Very despicable kind of a parliameant, aiseee yaani ni bora Tanzania tusiwe na bunge kama watu wenyewe ndiyo viazi kiasi hiki.
 
Si bure inawezekana wenje na masha waliwapa kitu kidogo ndo maana wanatetewa kwani si kila mtu amejinadi kwa wabunge? mbona ukawa wako wengi wao wenyewe wakawatosa kina wenje na masha na safari kwa kuwapa kura zisizozidi hata 45 kila mmoja.Kura hailazimishwi kila mtu ana uhuru wa kumpigia anayemtaka
 
Wanawake wote wawili kushinda pamoja na madhaifu walioyaonesha wakati wa interview hasa yule Pamela Masai nini maoni yako? Je ni kusema ccm imeamua kuwakomesha kina

Masha
Wenje
Safari na
Mwalim pamoja na uzoefu wao na competitiveness yao!
Walioshinda Wamestahili Maana ni Wagombea Chadema Iliwaona Wanafaa. Demokrasia Imechukua Mkondo Wake.. Sio Kila Anayeboronga Interview Basi Inamanisha Hatakuwa Mfanyakazi Mzuri Hasa Interview za Ajira (Nina Uzoefu Huu)...
 
Kesho wataitwa Ikulu wote wakapewe Maambyulensi maana wametii akigizo la mfalme.Bora ningezaliwa hata Ngedere Ulaya
 
Back
Top Bottom