Habari yenyewe KIPORO cha 2012 imeshachacha hii!!
Hapa ulikuwa unakunya unaandika ukashutuka mjuzi huko mbele yako hadi ukashindwa kumalizia sentensi.
Mbona wewe hutaki kwenda kwenu Burundi!si aende kwao?
Kijarida hiki cha mafisadi chaweza kupika kila kitu! hakiwezi kuandika kuwa JK amejaza mahawara kwenye nafasi zote za serikali. CDM hakiwezi kufanya yote ya umbea huu!
Hakuna tatizo ni haki yake ya kidemokrasia kugombea nafasi yeyote.
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.