Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

maCCM bana!
Yanafikiria pafupiiii

Mpaka sasa hakuna mgombea aliyepitishwa Chadema na Halima sio mwenyejukumu la kumfukuza mwanachama bali ni Vikao vya Uongozi!
 
Attachments

  • 1423251945200.jpg
    1423251945200.jpg
    58.7 KB · Views: 256
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.

Tutasikia mengi maana kila anyejisikia kuandika lolote ili mradi asikike anafanya hivyo.
 
Kwenye bawacha hamkuona mfano?
Chadema iliacha uwanja wazi na mkaona mdee mwenyewe kwa uwezo wake kashinda uenyekiti bawacha, leo tumekua wehu eti tufanye maamuzi ya kiccm kumpoka mdee?
 
Labda nikusaidie Kama tutaingia kwenye uchaguzi na katiba hii Halima mdee atakwenda bungeni kupitia viti maalumu kwa sababu yeye ni Mwenyekiti wa bawacha taifa kwa nafasi yake nakwenda bungeni moja kwa moja na jimbo la Kawe atasimama Mzee wetu marando.
 
Kheeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeee Watu wengine banaaa!!! Uzushi ni hulka yao, hata chembe ya ushahidi hawana lakini wanazusha habari mchana kweupeeee!!!! Kha!!'
 
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.

Kwa akili hizo ulizokuwa nazo sitasita kusema wewe picha yako ni hii hapa chini

shoga.jpg
 
Kuna ukweli ndani yake,tuache kumshambulia mtoa mada kwa sababu ya mihemko yetu ya uchadema,ukizingatia Wengi wenu mlijiunga Cdm kwa mafuriko ya m4c.Josephine mshumbuzi alianza kufukuzia jimbo kitambo huku akishirikiana na Janeth Rithe Diwani wa kunduchi
 
Josephine atoe wapi sifa za kugombea Jimbo mahiri la KAWE...?
Hon Halima Mdee nafasi yake ya kutetea ipo wazi..

Nyie mnalijuwa jimbo la kawe vizuri
Mdee kurudi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Hata yy analijuwa hilo
Mkae mnabwabwaja tu
 
Chadema wakitaka kulipoteza hilo jimbo wamuweke huyo mama (Mushumbusi). Wakifanya hilo kosa watajuta. Halafu huyo mama anaonekana anapenda sana kujikweza wakati hana lolote.
 
Labda nikusaidie Kama tutaingia kwenye uchaguzi na katiba hii Halima mdee atakwenda bungeni kupitia viti maalumu kwa sababu yeye ni Mwenyekiti wa bawacha taifa kwa nafasi yake nakwenda bungeni moja kwa moja na jimbo la Kawe atasimama Mzee wetu marando.

Mwacheni Halima na jimbo lake sisi wapiga kura wake hatuhitaji mtu mwingine na Chadema hatuna mizengwe kama ccm.
 
Watakutana na Mwakyembe ambaye amekimbia kwao Kyela, sasa anjiandaa kugombea jimbo la Kawe.
 
Back
Top Bottom