Maruhani wameanza kufufuka tena.
kwani kuwa ccm lazima uwe chizi...!!!!
kwani kuwa ccm lazima uwe chizi...!!!!
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.

Subiri mda ufike uone moto wake unadhani halima kafanya kitu cha maana kawe?Josephine atoe wapi sifa za kugombea Jimbo mahiri la KAWE...?
Hon Halima Mdee nafasi yake ya kutetea ipo wazi..
Watu tukitaja majina tunapigwa ban leo lazima niandamane kwa hawa ma mods name calling.
Swissme
Hili mbona linafahamika juzi kati mshumbushi alikuwa na mkutano wa ndani hapa kawe halima akamtumia vijana wamdunde ilikuwa bonge la tifu kwahiyo tarifa yako ni sahihi wachaga wamepanga mke wa babu agombee kawe.

Hivi Halima Mdee ni kabila gani vile? Mhaya?
Hili mbona linafahamika juzi kati mshumbushi alikuwa na mkutano wa ndani hapa kawe halima akamtumia vijana wamdunde ilikuwa bonge la tifu kwahiyo tarifa yako ni sahihi wachaga wamepanga mke wa babu agombee kawe.
kwani halima mdee ndo alimvisha ubunge zitto hadi amvue????

Mpare mkuu