Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, yupo Joseph Shamba "Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani.
Yuko wapi? Tuliambiwa anaumwa, vipi maendeleo yake?
Orijino komedi walipasa kujibu wapenz au mashabiki wao kuhus hali ya vengu n kweli imekua muda na wapo kimya as if hakuna mgonjwa kuna raha gani ya kutaja jina la mtu ikiwa mhusika haonekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.