Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Na je waliondokaje huko walipotoka?.

Na kwani wao hawawezi kuwatumikia Wananchi bila kuwa na wadhfa?...maana huko walipoenda wameshindwa tu kwenye kura za maoni ila bado ni Wanachama.
 
Kwahiyo ni rasmi sasa siasa ndio kila kitu..tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma ..
Badala washauriwe kutumikia fani zao kuna mtu anawaombea wasitupwe
wamesomea political science mkuu, ndiyo fani yao. Sawa na dokta,lawyer,teacher. huku kwingine hawawezi,
 
Mzee means equal to your daddy, hupaswi kumuita mpumbavu, he can marry your ........ suprisingly be your step father enjoy your daddy's bed. respet elders whatever their statements.
ushauri tu, unazeeka pia few years to come.
 
Kwahiyo ni rasmi sasa siasa ndio kila kitu..tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma ..
Badala washauriwe kutumikia fani zao kuna mtu anawaombea wasitupwe
Kwa hili tuwashukuru sana Chadema chini ya Dr. Slaa. Enzi akina Mnyika, Zitto, etc. wametoka chuo na kuingia mjengoni, gafla wakawa watu, ilituonyesha fursa mwanana pekee kwa vijana ni siasa.
 
Kwa hili tuwashukuru sana Chadema chini ya Dr. Slaa. Enzi akina Mnyika, Zitto, etc. wametoka chuo na kuingia mjengoni, gafla wakawa watu, ilituonyesha fursa mwanana pekee kwa vijana ni siasa.
Mhm OK
 
Si waongee na kigwangala awafungulie watoke ndani ya box
 
Si wapokelewe NCCR
 
Ushauri wa kipumbavu kabisa, inamaana kuwa akina Makonda na wenzake walioshindwa kwenye kura za maoni wasamehewe warudie nafasi zao wakati nafasi walizozikimbia zina watu tayari?.
 
selasini siyo kwa urembo huo. ni mtu anyependa ule mchezo wa kukunwa nyuma ndio maana alikubali kununuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…