Hii sio lawama wala ni kweli uzembe tulifanya
Safi huu ndo uzalendo! Tusichukulie kila kitu ni siasa... Huu ni msiba wa kiongozi mkubwa katika taifa letu!! Rest easy mzee Mkapa
Hakuna binadamu aliye sahihi, hajazaliwa bado
Kwani ni lazima kwenda huko? Wacha kujipendekeza wewe
Itifaki ipo na Duniani Kote kuna Utaratibu..sijui Kwann chadema kila mara wanajiwekea kitanzi wenyewe
.Mkuu Wa nchi ameshaingia kwa usalama sio sawa nyie chadema kuingia baada ya Rais..Sio Heshima na pia sio sawa...
Lawama kila mara ila mmechemka sana