Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,291
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?

Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
 
unalako jambo au na wewe ni redio ya wafu, siyo mpenzi wa kufatilia bunge lakini niliwahi kumsikia sugu akishupalia swala la hospital ya mbeya kwa rushwa na jenereta kuwashwa wanapoenda wakubwa kutibiwa..ukumbuke bongo flava inamhusu yeye kwasababu kuu 2, yeye ni waziri kivuri,yeye ni mwana bongo flava
 
We kweli tutusa. Mbona Mulugo au Wassira au Pinda huulizi na wao kwa nini huwaoni wakichangia? Michango huwa ya maneno na maandishi. Nenda kwenye hansard kwanza uone...
 
sugu kama msanii asipolisimamia la hati miliki nani atawasemea wasanii
 
unalako jambo au na wewe ni redio ya wafu, siyo mpenzi wa kufatilia bunge lakini niliwahi kumsikia sugu akishupalia swala la hospital ya mbeya kwa rushwa na jenereta kuwashwa wanapoenda wakubwa kutibiwa..ukumbuke bongo flava inamhusu yeye kwasababu kuu 2, yeye ni waziri kivuri,yeye ni mwana bongo flava

Mkuu kitendo cha wewe kusema "uliwahi kumsikia" tayari ni uthibitisho tosha.
Hayo maneno usingeweza kuyatamka kwa Mnyika.
Afu hiyo wizara haihusu bongo fleva tu, kuna netball,bao etc.
 
unalako jambo au na wewe ni redio ya wafu, siyo mpenzi wa kufatilia bunge lakini niliwahi kumsikia sugu akishupalia swala la hospital ya mbeya kwa rushwa na jenereta kuwashwa wanapoenda wakubwa kutibiwa..ukumbuke bongo flava inamhusu yeye kwasababu kuu 2, yeye ni waziri kivuri,yeye ni mwana bongo flava

Mkuu huyu alishaji udentify kuwa ni jambazi....... Hana muda wa kufuatilia bunge zaidi ya kuwaza ujambazi. ujue amemfuatilia maji marefu kwasababu huwa anampa dawa za kufanya ujambazi.
 
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.
 
Mkuu huyu alishaji udentify kuwa ni jambazi....... Hana muda wa kufuatilia bunge zaidi ya kuwaza ujambazi. ujue amemfuatilia maji marefu kwasababu huwa anampa dawa za kufanya ujambazi.

Mkuu hoja iliyopo sio hiyo kwa sasa.
 
Mbona Maji Marefu anawaliliaga wapiga kura? Juzi tu katoa misaada ya zaidi ya m45 kwa ajili ya shule na hospitali kutoka kwa wafadhili wake.
Maji marefu ni mbunge wako? Akili zenu zinafanana. Unatamani angekuwa babako
 
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

And u only expect more from Jk because he's doctorate leaver!

Upumbavu juu ya upumbavu mwingine shida tupu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Maji marefu ni mbunge wako? Akili zenu zinafanana. Unatamani angekuwa babako

Ni darasa la saba, Sugu form 4, ka ishu ni shule.
Pia Sugu ana-exposure ya kuishi nje mda mrefu.
 
Back
Top Bottom