Mazungumzo yaliyokwisha juzi nchini DRC kati ya serikali na wapinzani yametoka na azimio moja la rais Kabila kuandaa uchaguzi kabla ya mwisho wa mwaka ujao 2017.
Maombi yake ya kukaa hadi Dec. 2018 na lile la kuwania kipindi cha tatu yote yamekataliwa. Kabila mwenyewe ameshakubali azimio hilo ambalo linategemewa kusainiwa Ijumaa ijayo.