Kaburi alilochimba Joseph Kabila linamzika mwenyewe

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha PPRD walimuibia Martin Fayulu kura na kumtangaza Félix Kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa Wakongo maana Felix Kisekedi hakuwa maarufu sana na wala hakufanya sana kampeni.

Martin fayulu alilalamika mwisho akaona isiwe case acha akubali tu Kabila akafurahi sana. Maana walikuwa na mipango yao baada ya Felix kumaliza muda wake atamuachia mke wa Kabila madaraka.

Felix madaraka yakamnogea akaona ili ni dumu vizuri kwenye madaraka ni lazima nifanye kazi na wale madui wa Kabila maana nikiungana nao nitakuwa nimemaliza Kabila.

Felix kisekedi akamuita jean pierre Bemba adui mkubwa wa Joseph Kabila akamuita vital Kamerhe yaani wale wote ambao walikuwa madui wa Kabila kipindi cha utawala wake wakapewa vyeo na Félix.

Sasa hivi wana ajenda yao mpya ya kumaliza upinzani ndani ya Kongo kwa kuwapa wapinzani makesi ya uongo, na kuchafua majina yao kwa Wakongo kuwa wapinzani ndio chanzo cha machafuko ndani ya nchi.

Eti wapinzani wana ajenda yao ya kutaka kupindua serekali, ile ile system ambayo Joseph Kabila alitumia kumkimbiza Katumbi ndani ya nchi Felix nayo anatumia kutaka kumshika Kabila na katumbi kwa kuwapa makesi ya uongo na tayari baadhi ya marafiki wa Moise Katumbi wako ndani.

Kabila baada ya kuona mambo yamekuwa magumu Kinshasa, sasa hivi amekimbilia Lubumbashi.
 
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha pprd walimuibia Martin fayulu Kura na kumtangaza Félix kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa wakongo maana felix kisekedi hakuwa...
Haifai kufaya Jino kwa jino lakini Kabila na Baba Yake plus Mobutu wamemwaga damu nyingi sana Congo
 
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha pprd walimuibia Martin fayulu Kura na kumtangaza Félix kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa wakongo maana felix kisekedi hakuwa maarufu saana na Wala hakufanya saana kampeni
Martin fayulu alilalamika mwisho akaona isiwe case acha akubali tu
Kabila akafurahi saana
Maana walikuwa na mipango Yao baada ya felix kumaliza mda wake atamuachia mke wa Kabila madaraka

Felix madaraka yakamnogea akaona ili ni dumu vizuri kwenye madaraka ni lazima nifanye kazi na wale madui wa Kabila Maana nikiungana nao nitakuwa nimemaliza Kabila
Felix kisekedi akamuita jean pierre Bemba adui mkubwa wa Joseph Kabila akamuita vital Kamerhe yaani wale wote ambao walikuwa madui wa Kabila kipindi cha utawala wake wakapewa vyeo na Félix
Sasa hivi wana ajenda Yao mpya ya kumaliza upinzani ndani ya Kongo
Kwa kuwapa wapinzani makesi ya uongo
Na kuchafua majina Yao kwa wakongo kuwa wapinzani ndo chanzo cha machafuko ndani ya nchi eti wapinzani wana ajenda Yao ya kutaka kupindua serekali ile ile system ambayo Joseph Kabila alitumia kumkimbiza katumbi ndani ya nchi felix nayo anatumia kutaka kumshika Kabila na katumbi kwa kuwapa makesi ya uongo na tayari baadhi ya marafiki wa moise katumbi Wako ndani
Kabila baada ya kuona mambo yamekuwa magumu Kinshasa Sasa hivi amekimbilia Lubumbashi
Tshekedi asingeweza kumshinda Fayulu, sema rafu za Kabila zilisaidia cha ajabu leo Kabila na Tshekedi ni maadui........siasa za Africa no mchezo mchafu.

mtu chake Moronight walker
 
Moise Katumbi mwaka wa 2000 alikataa yeye siyo mkongo ni mzambia. Baadaye Kabila akampa uraia wa Congo. Katumbi ni baba yake myahudi na mama yake mzambia. Katumbi ni mjanjamjanha sana. Tapeli mwizi na fisadi.

Wacongo hawatakubali kutawaliwa na mgeni. Ni huyuhuyu Katumbi alikataa siyo mcongo.

Katumbi ni rafiki mkubwa na muhuni mwenzake rais wa Angola Joao Laurenco (lorenso) inatamkwa hivyo kireno.

laurenco (lorenso) naye kiasili ni mcongo lakini anatawala Angola. Savimbi alionya sana.

Lorenso na Katumbi ni marafiki sana mafisadi na wapiga dili

Hata aliyekuwa rais wa Angola joao eduardo dos Santos naye akuwa muAngola asili alitoke visiwa vya cape Verde

KATUMBI KAMWE HATAWAHI KUWA RAIS WACONGO HATA KAGAME AKIMSAIDIA.

Iyo fasii ya urais ni ya munene bantu wapuuz kama Katumbi kamwe hawawezi pata.
 
Wewe subiri utaona si maneno hayo ambayo wewe unayasema umeyasikia kwa wana siasa wakongo Hao Hao ndo watakuambia Tena katumbi ni mzuri hivi na vile fata Historia ya katumbi toka zamani sio kujenga chuki
Pia Kongo tuna shida na maendeleo basi hayo mengine utajuana na felix wenu akitoka madarakani
 
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha PPRD walimuibia Martin Fayulu kura na kumtangaza Félix Kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa Wakongo maana Felix Kisekedi hakuwa maarufu sana na wala hakufanya sana kampeni.

Martin fayulu alilalamika mwisho akaona isiwe case acha akubali tu Kabila akafurahi sana. Maana walikuwa na mipango yao baada ya Felix kumaliza muda wake atamuachia mke wa Kabila madaraka.

Felix madaraka yakamnogea akaona ili ni dumu vizuri kwenye madaraka ni lazima nifanye kazi na wale madui wa Kabila maana nikiungana nao nitakuwa nimemaliza Kabila.

Felix kisekedi akamuita jean pierre Bemba adui mkubwa wa Joseph Kabila akamuita vital Kamerhe yaani wale wote ambao walikuwa madui wa Kabila kipindi cha utawala wake wakapewa vyeo na Félix.

Sasa hivi wana ajenda yao mpya ya kumaliza upinzani ndani ya Kongo kwa kuwapa wapinzani makesi ya uongo, na kuchafua majina yao kwa Wakongo kuwa wapinzani ndio chanzo cha machafuko ndani ya nchi.

Eti wapinzani wana ajenda yao ya kutaka kupindua serekali, ile ile system ambayo Joseph Kabila alitumia kumkimbiza Katumbi ndani ya nchi Felix nayo anatumia kutaka kumshika Kabila na katumbi kwa kuwapa makesi ya uongo na tayari baadhi ya marafiki wa Moise Katumbi wako ndani.

Kabila baada ya kuona mambo yamekuwa magumu Kinshasa, sasa hivi amekimbilia Lubumbashi.
Muafrica ni jamii ya tumbili !!
 
Moise Katumbi mwaka wa 2000 alikataa yeye siyo mkongo ni mzambia. Baadaye Kabila akampa uraia wa Congo. Katumbi ni baba yake myahudi na mama yake mzambia. Katumbi ni mjanjamjanha sana. Tapeli mwizi na fisadi.

Wacongo hawatakubali kutawaliwa na mgeni. Ni huyuhuyu Katumbi alikataa siyo mcongo.

Katumbi ni rafiki mkubwa na muhuni mwenzake rais wa Angola Joao Laurenco (lorenso) inatamkwa hivyo kireno.

laurenco (lorenso) naye kiasili ni mcongo lakini anatawala Angola. Savimbi alionya sana.

Lorenso na Katumbi ni marafiki sana mafisadi na wapiga dili

Hata aliyekuwa rais wa Angola joao eduardo dos Santos naye akuwa muAngola asili alitoke visiwa vya cape Verde

KATUMBI KAMWE HATAWAHI KUWA RAIS WACONGO HATA KAGAME AKIMSAIDIA.

Iyo fasii ya urais ni ya munene bantu wapuuz kama Katumbi kamwe hawawezi pata.
Kumbe humu kuna wakongo. Asante kwa maelezo mazuri
 
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha PPRD walimuibia Martin Fayulu kura na kumtangaza Félix Kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa Wakongo maana Felix Kisekedi hakuwa maarufu sana na wala hakufanya sana kampeni.

Martin fayulu alilalamika mwisho akaona isiwe case acha akubali tu Kabila akafurahi sana. Maana walikuwa na mipango yao baada ya Felix kumaliza muda wake atamuachia mke wa Kabila madaraka.

Felix madaraka yakamnogea akaona ili ni dumu vizuri kwenye madaraka ni lazima nifanye kazi na wale madui wa Kabila maana nikiungana nao nitakuwa nimemaliza Kabila.

Felix kisekedi akamuita jean pierre Bemba adui mkubwa wa Joseph Kabila akamuita vital Kamerhe yaani wale wote ambao walikuwa madui wa Kabila kipindi cha utawala wake wakapewa vyeo na Félix.

Sasa hivi wana ajenda yao mpya ya kumaliza upinzani ndani ya Kongo kwa kuwapa wapinzani makesi ya uongo, na kuchafua majina yao kwa Wakongo kuwa wapinzani ndio chanzo cha machafuko ndani ya nchi.

Eti wapinzani wana ajenda yao ya kutaka kupindua serekali, ile ile system ambayo Joseph Kabila alitumia kumkimbiza Katumbi ndani ya nchi Felix nayo anatumia kutaka kumshika Kabila na katumbi kwa kuwapa makesi ya uongo na tayari baadhi ya marafiki wa Moise Katumbi wako ndani.

Kabila baada ya kuona mambo yamekuwa magumu Kinshasa, sasa hivi amekimbilia Lubumbashi.
Sasa mbna hakwenda popote mm nikajuwa labda kakimbilia south Africa

Acha utapeli kak ,kabila atarud madarakani tenaa
 
Joseph Kabila anaishi Bongo weweee!!!
 
Back
Top Bottom