The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku ametaka haki itendeke Zanzibar kwani haiingii akilini kuwa Wazanzibar walipiga kura halafu wanaambiwa warudie tena kupiga kura huku wakiwa hawajaambiwa ni nani aliharibu kura walizopiga mwanzo amechukuliwa hatua gani,
Na mambo mengine mengi yasiyoeleweka huyu ana ungana na Waziri Mkuu wa zamani ndugu Salim Ahmed Salim ambae pia anataka haki itendeke kwa kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa Oct 25.
Na mambo mengine mengi yasiyoeleweka huyu ana ungana na Waziri Mkuu wa zamani ndugu Salim Ahmed Salim ambae pia anataka haki itendeke kwa kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa Oct 25.