babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,958
- 20,281
Sio unaangalia movie tu, kwa tunaoyaelewa maeneo yaliyotajwa kwenye kitabu kama cha Njama ni kama unaangalia tukio laivu.Pamoja mkuu jamaa ukimsoma ni kama unaangalia movie vile
Sawa mkuuSio unaangalia movie tu, kwa tunaoyaelewa maeneo yaliyotajwa kwenye kitabu kama cha Njama ni kama unaangalia tukio laivu.
Sawa nitakinunua ukifika dar unicheki.Hapana ila mara nyingi huwa nakuja kwaajili ya shughuli zangu
Nataman sana kupata historia zao hao watu ni yupi alianza kaz ya uandishi na kama walishasoma pamoja au vipiHao ndo walikuwa waandishi miak hiyo.
Nimewasoma wote
J.kiango ana mahali pake na Ben Musiba ana nafasi yake.
So wote wana nyota tano kwangu.
Natafuta riwaya ya Dunia Hadaa ya Eddie Ganzel na Ama Zao Ama Zangu ya Hammie Rajabu.Gamba shughuli nyingine Joram Kiango anajitahidi kama kina Edd Ganzel,Hamie Rajabu nk
Sidhani kama Ben Mtobwa na A. E. Musiba walisoma pamoja. Ninachokumbuka Musiba aliwahi kuajiriwa serikalini (kama sikosei alikuwa mhasibu) na huko kwenye ajira akapata kesi iliyompelekea kufungwa na mara baada ya kutoka gerezani ndipo akatoa riwaya yake ya kwanza ya KUFA NA KUPONA. Hiyo ilikuwa kwenye late 1970s.Nataman sana kupata historia zao hao watu ni yupi alianza kaz ya uandishi na kama walishasoma pamoja au vipi
Shigongo??? Muwe serious kidogo.Ila watu wenye vipaji vya uandishi kanda ya ziwa Mungu kawapendelea sana. Akina nyambari ,shigongo, mloka et al.
Ben R. Mtobwa na A. E. Musiba ndiyo walikuwa waandishi. Mtobwa akimtumia Joram Kiango kama mhusika mkuu kwenye riwaya zake na Musiba akimtumia Willy Gamba. Hakukuwa na mwandishi anaeitwa Ben Musiba.Hao ndo walikuwa waandishi miak hiyo.
Nimewasoma wote
J.kiango ana mahali pake na Ben Musiba ana nafasi yake.
So wote wana nyota tano kwangu.
Huu ni moto pia love story pia zipoo💯👐
Anha kumbeSidhani kama Ben Mtobwa na A. E. Musiba walisoma pamoja. Ninachokumbuka Musiba aliwahi kuajiriwa serikalini (kama sikosei alikuwa mhasibu) na huko kwenye ajira akapata kesi iliyompelekea kufungwa na mara baada ya kutoka gerezani ndipo akatoa riwaya yake ya kwanza ya KUFA NA KUPONA. Hiyo ilikuwa kwenye late 1970s.
Nimesoma vitabu vyote vya Aristablus Elvis Musiba vyenye story za Willy Gamba na pia nimesoma sehemu kubwa ya vitabu vya James Hadley Chase lakini sikumbuki kuona popote ambapo mtu unaweza kusema Musiba alikopi kutoka kitabu hiki cha James Hadley Chase. Labda staili ya uandishi.
Naweza nikazipata hizi boss ?
Bila shaka, zipo page no 5 comment no 81 mkuuNaweza nikazipata hizi boss ?