Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,541
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.
Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.
Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.

Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa 