Jokate na twende kilioni mbaya na chafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jokate na twende kilioni mbaya na chafu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Yo Yo, Mar 8, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.
   
 2. S

  Saas JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mazee mbona mimi naona ziko pouwa tu sio mbaya sanaa au labda ni picha yenyewe...
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arifu ziko mbaya aisee.....zimeanza kufumuka fumuka na zinaonekana ni chafu...angalia nywele nadhifu za mama Migiro arifu zilivyo safi..
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mchina kawasaidia sana hawa wadada!!!
   
 5. S

  Saas JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo mchina ana uhusiano gani na nywele.
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Mzuri!mzuri tu!jokate ni mkali mpaka sababu ndogondogo watu wanazitafuta aonekane mbaya!!!!
   
 7. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  mbona yuko bomba,mi naona amependeza.
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hii style ya twende kilion km inarudi flan!!
  Nimeshakutana na madada kadhaa wameisuka vizuri na inapendeza!!

  Asa hizi za jokate nahisi fundi wake ndio hakuzishika vizuri wakati wa kusuka na zinaonekana sio nwele ndefu!!
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ijakaa poa japo sio kosa lake ila fundi wake kamkosea,
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Binafsi huwa napenda sana mwanamke akisuka twende kilioni.

  Siku moja nikamshawishi Ze Mupenzi wangu asuke aina hiyo, majibu yake nilichoka eti ''tumewaachia wanaume hiyo style''

  Mwanzoni sikumuelewa ila nilipokua naangalia Football match akanikumbusha nikaona wachezaj kama wanne hivi wamesuka huo mtindo..
   
 12. I

  Igangilonga Senior Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona nywele zake zimekaa poa tu, au macho yako hayaoni vizuri? Mimi sioni kabisa kama zimefumuka halafu nampongeza maana katuwakilisha vizuri wabongo na nywele zetu natural, au ulitaka ashonee wigi la mchina?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chunguza mjomba utabaini tuuuuuuu!!!

  Ngoja nikusaidie::wadada wengi nywele wanazotinga ni mchina zao hizo natural pasu
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu mkwanja ndio wautata mzeee...
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mmmnh mbona ziko sawa? wewe yoyo acha gubu
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  yo yo... We mkali

  kweli hizo nywele hazijapendeza
   
 17. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  msusi ka mkosea kumsuka hizo ywele angesukwa na BIBI angu angependeza sana kwa anajua usuka sana
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Labda hawezi ku afford ma shampoo na ma conditioner.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nywele zake zitakuwa soft sana bwana! Sio wote wenye nywele kama steelwool! Ndo zikisukwa zinagangamala wiki 3. Soft hair zikitoka kusukwa malaika zinachachamaa!
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mbona hazina ubaya
   
Loading...