JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 470
- 597
Ingependeza zaidi na ningemuona ana werevu kama angesema mchakato ubadilishwe wananchi wachague Mkuu wa Wilaya.Watz wanajua kuwapangia watu majukumu
Kwa hiyo Mkuu mm sikustahili kutoa maoni?
Kazi yakeApandishwe cheo shauri ya kidoti chake au kazi yake?Anyway nimemuotea ndoto ya kuwa mkuu wa Mzizima.
View attachment 1824270 ALITAKIWA APISHE WENGINE NAYEYE AKAJIAJI
Ni kweli kabisaIngependeza zaidi na ningemuona ana werevu kama angesema mchakato ubadilishwe wananchi wachague Mkuu wa Wilaya.
Siyo sasa hivi, rais kapewa nguvu za kikatiba na kisheria kuteua na kutengua yeyote, halafu akizitumia, wananchi wanampangia afanye nini.
Kazi za utalli wa picha kisarawe insta au?Kazi yake
In fact vyeo vya wakuu wa wilaya vifutwe kabisa kwenye katiba abaki mkurugenzi na DAS tuIngependeza zaidi na ningemuona ana werevu kama angesema mchakato ubadilishwe wananchi wachague Mkuu wa Wilaya.
Siyo sasa hivi, rais kapewa nguvu za kikatiba na kisheria kuteua na kutengua yeyote, halafu akizitumia, wananchi wanampangia afanye nini.
Unategemea ubunifu kwa Jokate? Ngoja akasimamie shule wajengeTemeke ni upgrade, ishu kibao...temeke yenyewe, mbagala, tandika zote hizo tayari zitampasua kichwa...aweke ubunifu hapo
Kaulize kule kisarawe
Unaweza tu hata wewe kuonyesha Mkuu,lakin wanaomfaham hawahitaji kuelezewa zaidHujaonyesha kwa vielelezo mafanikio yoyote ya maana aliyoyaleta huko Kisarawe
Hata hiyo pia ni kazi