Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

Habari wakuu,

Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.

Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha Kisarawe.

Kwa muda wote aliokaaa Kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza Kisarawe na kuinua kiwango cha elimu, hasa katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana.

Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate.

Shaloom!
Maza anataka mbunifu kuleta maendeleo,temeke na anepeleka mbunifu mwingine kisarawe
 
Back
Top Bottom